Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

Hahaaaa kuna watu inawauma kwavile wamekulia kwenye msoto pension na mirathi vimewainua wanatamani wafute past history zao...

Tatizo watu hawajikubali, mbona mimi najikubali tu nimetokea kwenye familia ya kikabwela , kwan kitu gani bhana?? Maisha hayafananani hata siku moja, nashangaa watu wanalilia maisha ya kishua
 
Mimi ndo mleta uzi, una tatizo gani na mim? Naona unatak kuniviruga, usijaribu kuamsha mizimu yangu aiseeh, nishasahau habar za ban

Mleta uzi' shikamoo!! Mleta uzi mbona mkali? Au una matatizo ya kuelewa? Nilikuomba radhi kwakuwacopy hao jamaa hapo juu' meaning that nilitaka ruhusa yako na sio vinginevyo" maana ilikuwa inachukua nafasi kubwa na ndo maana nikaapologize kwanza..

Sasa naona unataka kuniattack' na unaongelea habari za ban' au umevurugwa.!
 
Tatizo watu hawajikubali, mbona mimi najikubali tu nimetokea kwenye familia ya kikabwela , kwan kitu gani bhana?? Maisha hayafananani hata siku moja, nashangaa watu wanalilia maisha ya kishua

Teh teh sio kulilia tu na kutulazimisha humu tuwaone wa kishua... chokambaya tu wivu umewajaa
 
teh teh tehh jaman vidole havifanani we kama maisha mabovu kwenu sio wote udanganywe we kama nani? Unafanya kazi town kwa muhindi kurudi nyumban adhabu tehh tehh tehh wengine hata ajiri hatuzijui zinafanana vipi.
 
jamani na mi mtoto wa kishua hvyooii!warumi na qn of sheba nifagilieni pleaseeee!
 
Wakuu hizi ishu za kumuAttack mtu personal zinatoka wapi? Mada ni kuwafahamu macelebrity waliotoka kwenye maisha ya kishua yeye kama ni maisha hovyo ni kwao na wewe kama maisha hovyo ni kwenu ila kifupi binadamu hatuwezi kuwa sawa kuna kutegemeana.
 
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu

Ha ha ha ha mkuu hiyo ni kareee kuliko.

Ila mtoa mada kamsahau Balozi Dollar Soul yuel ndio wa kishua haswaa kakulia ubalozini na mpaka sasa hivi wako njema ye akifanya yake pande za kwa Mjaluo Obama.
 

wacha wee! mengi ni kaka yako na bakhress ni mjomba wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…