Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

Wazungumzie lakini usilete uongo na uwe na ushahidi sio story za kwa Shigongo afu unajifanya unawajua.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Uongo upi? Ebu nitajie staa yeyote niliyemtaja ambae hana sifa nilizozitaja
 
Wazungumzie lakini usilete uongo na uwe na ushahidi sio story za kwa Shigongo afu unajifanya unawajua.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Haya we mjuaji huyo shigongo anayedanganya unamshushua nenda basi kaombe uhariri kwani wote waliokaa hizo nyumba za msajili ni maskini?

Haya ndio tumesoma kwa shigongo basi nenda huko gpl kamwambie aache ujuaji na kudanganya maana hao wote waliotajwa unawajua wote personally tofauti na shigongo anavyodanganya.
 
Nikaombe uhariri? Seriously??? Teh teh teh teh

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wapaishe tu binamu wataridhika me ngoja nijiondokee humu... hawana jipya. Celebatabaki kuwa celeb wengine watabak kuwa fans japo wanapesa kushinda hao celeb.

Uondoke uende wapi kwan kuna mtu anakutisha binamu
 
Rejea post za wachangiaji utaona

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Nataka uongee kwa niaba yako bhana, mbona una nidhamu ya uoga kijana?? We sema tu flani sio wa kishua umekosea
 
Nikaombe uhariri? Seriously??? Teh teh teh teh

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Yeah naona umeitamani sana hiyo kazi may be ndio ndoto yako... tena ikiwezekana omba uwe mhariri wa jf..
Uhariri kuwa hao waliotajwa hapo juu wote sio wakishua walikaa tu kota za serikali.. uridhike
 
Hamna binamu lakini si unaona hakuna mada hapa zaidi ya kujisifia pumba mtu mtu sio star.. akajisigie huko IG.

Mmh mi hayo mambo ya kujisifiaga yalishanipitiaga pembeni, toka nimeingia humu sijuiag kujisifia, mi niambie umbea tutaelewana, kwanza ni dalili ya kutojiamini
 
The Lady Ana Kisirani Flan Sometimes......Nilishamsoma Siku Miiiiiingi So Huwa Najitahidi Kukaa Mbali Naye......Nimeona Haya Majibishano,Nikasema...Well!Well!Well!...Wacha Movie Iendelee......

Anaonekana lakini sio yeye tu wapo wengi humu maskini.
 
Kwani nimembishia yeye angalia huko mwanzo nilimwambia kama wewe ni tajiri sawa ila sio celeb, si alidhike naona kakosa kazi na kuanza kutangaza utajiri wake akaweke huko jf photo wamsifie humu sio jukwaa lake.

Sawa ni kweli ila alivyoweka umeumia nini na maneno ya kashfa ukamtolea? Si yeye na ulimbukeni wake au unataka wote tuwe na idology moja kwamba akisema mtu flani basi ndio hilohilo.
 
Poor minds discuss people, strong minds discuss ideas.

WORLD ngoja nijiitoe kwa huu mjadala usio na kichwa wala miguu niwaachie limbukeni stata mzuka na wajuaji @qnofsheba na warumi

Ila nime NOTE kitu kimoja humu watu wana matatizo yao sasa ni sawaswa ulete habari ya Isidingo au upite na the Gurdian uswahilini.
 
Last edited by a moderator:
JF bhana raha sana unaweza ukatumia nguvu nyingi kweli kubishana na mtu halafu kumbe ni babako au mdogo wa mwisho
 
Sawa ni kweli ila alivyoweka umeumia nini na maneno ya kashfa ukamtolea? Si yeye na ulimbukeni wake au unataka wote tuwe na idology moja kwamba akisema mtu flani basi ndio hilohilo.

We kwenye hizo post umeona maneno yangu tu ya kashfa hayo yake hukuyaona au kwavile sikuwa nayajibu na kuconcentrate kwenye moja tu la topic sio hayo binafsi.
 
mtoto aliyetoka familia bora lazima awe amesoma shule nzuri primary mpaka secondary na si maeneo alipokulia!....huwezi ukawa mtoto wa kishua kisa umekulia upanga au obay lakini primary ya kidumu na ufagio ilikuhusu mixer kupeleka vifuu skuli walimu wapikie uji!....
 
WORLD ngoja nijiitoe kwa huu mjadala usio na kichwa wala miguu niwaachie limbukeni stata mzuka na wajuaji @qnofsheba na warumi

Ila nime NOTE kitu kimoja humu watu wana matatizo yao sasa ni sawaswa ulete habari ya Isidingo au upite na the Gurdian uswahilini.

Unanishangaza tu, sijui una bwabwaja nini
 
Last edited by a moderator:
mtoto aliyetoka familia bora lazima awe amesoma shule nzuri primary mpaka secondary na si maeneo alipokulia!....huwezi ukawa mtoto wa kishua kisa umekulia upanga au obay lakini primary ya kidumu na ufagio ilikuhusu mixer kupeleka vifuu skuli walimu wapikie uji!....

daah!ungejua nimesoma na wakishua wengi st kayumba maana hzo engish medium zimeshka kasi 2002 na kuendelea.nenda zanaki,jangwani nk utaamini by the way kupanga ni kuchagua
 
mtoto aliyetoka familia bora lazima awe amesoma shule nzuri primary mpaka secondary na si maeneo alipokulia!....huwezi ukawa mtoto wa kishua kisa umekulia upanga au obay lakini primary ya kidumu na ufagio ilikuhusu mixer kupeleka vifuu skuli walimu wapikie uji!....

wewe utakuwa mtoto wa 90s.....a. mengi,f.lowassa,s.mwinyi, na wengine wengi wamesoma muhimbili primary,forodhani,bunge na tulikuwa tunaenda na fagio[i aint one of them]....je hao sio wa kishua????
 
Back
Top Bottom