Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Eti sio mshirika wa biashara hiyo 😂😂😂
 
UMEFIKA MDA TUPEANE CHOCHO ZA
MADADA POA
WATOTO

WENYE MIMBA

WASIOIBIA WATU

WENTE KUWEZA KUWA KAMA MKE
 
Kuoa dada poa halafu siku akiwa mkeo ukamkuta anatembea na wanaume wengine utashindwa kumwajibisha maana mlivyiikutana ni mazingira hayohayo.
Naona kama kuoana ni ngumu mkikutana kwenye manunuzi.
Hapana nakataa.
Madadapoa wengi sana wameolewa na wametulia kwenye ndoa zao kimya.
Nawajua 5 Tz hii na wako kimya wanalea ndoa na watoto wao mpaka sasa
 
Kwa definition hii uliyo iandika.
"........Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo........"

Basi wanawake wengi wao ni makahaba,japo wengi wanafanya indirect na hawakai barabarani.
 
Kwahiyo, wewe umeona tu jina, hujaona darasa au shule aliyoimwaga kuhusu madada poa? Hujafaidika na lolote kwenye alichokisema?? Hujafaidika na lolote toka kwenye majibu aliyoyatoa baada ya kuulizwa maswali na wana JF wengine???
Pumbavu zake huyo.
Anadhani kila muda ni muda wa masikhara.
Nimemuuliza nimthibitishie?
 
kama wanyama gani?
 
Kuna madadapoa wengine ni watata sana, mnaelewana vizuri na hela unatoa kabla ya penzi. Wanakuzaisha, mara paap difenda la polisi hili hapa unabebwa kupelekwa kituo cha polisi usiku huo. Kwa maelezo polisi wanaona huna shida wanakuachia ila na wewe unaacha angalau kanoti cha kueleweka. Kumbe wale madadapoa wengine wapo kazini, wapo doria wanawinda majambazi na wahalifu wengine
 
Asante sana, Naomba huu uzi uhame hapa ukakae kule kwenye rangirangi.
Ubarikiwe sana maana huu uzi utaokoa na kuponya wote wataosoma na kuutafakari
Vijana someni hapa.
Kabisa kaka.
Shukrani sana mkuu.
 
Du mada imeshafikisha watazamaji 3k na hii ni saa nne asubuhi.
Kweli hii biashara iloanza wakati wa Adam na Hawa.
 
kuna jamaa kaleta uzi hapa hizo K zina umeme wa kufa mtu nafikiri ndo maana wanaume wengi wanaondoka mapema duniani kwa kupigwa na shoti ya gridi tofauti tofauti
 
Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.
Wadada wengi sana ambao hawasimami barabarani kujiuza wapo kwenye hii category hii, wadada wengi tunaoona hawajiuzi barabarani, hawana tofauti na wale wanaojiuza barabarani

Kuna wadada wasiovutiwa kimapenzi na waume zao, ila wameolewa sababu ya hela za hao wanaume, huko nako ni kujiuza.

wadada wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ili walipiwe Kodi, vicoba, wahongwe ilhali hawana hisia na mwanaume anaewapa hela, nao wanajiuza.

Hatari sana Nusratt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…