Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Hakuna ujasiliamali hapo ingekuwa hivyo mtoa mada asingeachana na huo upuuzi unaouita ujasiliamali
Nakuelekeza kuna nchi Hawa wanalipa na Kodi Tena kwa efd mkuu

Unaachaje KUWAITA wajasirimali wakati KRKOO wanakimbia efd
 
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibia wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia kundi hili ndilo huongoza kwa uchafuzi wa mazingira kwa kusambaza hovyo mipira ya kiume iliyotumika mitaani. Kwani hawana sehemu ya kufanyia kazi popote pale hupatana na kuingia kazini na wakimaliza huacha uchafu wao hapo

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.
Umeongea vizuri,hizi nyege nazo!
 
Usiombee wakuogeshe wakusafishe na dodokii wanatembea na uncode za wake zetu mkuuu

Wake zetu kuna mambo mazuri waliyafanya mwanzo wanandoa walipozoea ndoa...loh

Shabash
 
Nakuelekeza punguza hasira Hawa kuna nchi wanachangaia Pato la taifa siwezi kuwadharauu
Unatumia neno "hawa" akina nani kama sio dada zako na mama zako umeipenda hii mada kwakuwa ni miongoni mwa wanufaika bila kujali athari za waathirika kuwa ni ndugu zako

Acha kujificha kwenye kichaka cha nchi hapa tupo bongo tukiwa Europe tutaongea kivingine
 
Unatumia neno "hawa" akina nani kama sio dada zako na mama zako umeipenda hii mada kwakuwa ni miongoni mwa wanufaika bila kujali athari za waathirika kuwa ni ndugu zako

Acha kujificha kwenye kichaka cha nchi hapa tupo bongo tukiwa Europe tutaongea kivingine
Naongelea general
Waheshiniwe na ikiwezekana WALIpe Kodi kuchangia taifa letu
Tunataka kodii
 
Naongelea general
Waheshiniwe na ikiwezekana WALIpe Kodi kuchangia taifa letu
Tunataka kodii
Hatuwezi kufika huko kama unavyoomba na maombi yako hayatashinda

Hatuwezi kuwa na jamii ya kijinga kama unayoiomba wewe kama ni rahisi vaa uhusika tukuone kama kweli unamaanisha
 
Hatuwezi kufika huko kama unavyoomba na maombi yako hayatashinda

Hatuwezi kuwa na jamii ya kijinga kama unayoiomba wewe kama ni rahisi vaa uhusika tukuone kama kweli unamaanisha
Simba fc 2
Aka BODI ya ligi fc wanaingixa hukooo
PAMBA O
 
Wakikukuogesha wale unaweza hisi wanaondoaa na DHAMBI za Dunia

Mkeo kama ana akili lazima akulizee umetoka wapi

Moja unarudi mwepesiii
Kiakili kiafyaaaaa

HAPO ashazoea kukunyima anashangaa ANAKUPA unamwambia niamshe saa Kumii kumbe mda WA KWENDA kazini

Wamesaidia ndoa nyingi sana Hawa mkuu lazima niwape HESHIMA zaoo
 
Something has happens ❌
Something has happened ✅
Please kindly refer from the sentence quotation source.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
  • Pray until something has happens (structure ❌️ grammar ❌️)
  • Pray until something has happened (structure ✅️ grammar ❌️)
  • Pray until something happens (structure ✅️ grammar ✅️)
 
Unatumia neno "hawa" akina nani kama sio dada zako na mama zako umeipenda hii mada kwakuwa ni miongoni mwa wanufaika bila kujali athari za waathirika kuwa ni ndugu zako

Acha kujificha kwenye kichaka cha nchi hapa tupo bongo tukiwa Europe tutaongea kivingine
Haya maneno si mageni hapa jijini. Hata wasiokunywa pombe nao wana maneno kama haya.
 
  • Pray until something has happens (structure ❌️ grammar ❌️)
  • Pray until something has happened (structure ✅️ grammar ❌️)
  • Pray until something happens (structure ✅️ grammar ✅️)
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Asante umenigusa sana.

Swali langu Nusratt

Wapo kazini" kazi gani?

Pili, milki gani.?


Mwisho nakupongeza kwa Uzi mzuri mno wa mwaka.

Maana nimechukia dadapoa japo kwa kuibiaibia na watu wanachukua sana dada poa japo wanajifanya wasafi.

Sijawahi kupata hata UTI maana nimetunia kinga, ila sasa nimekula baa med wengine nilienda peku, na nikapata IUTI.

Cha muhim kujitambia na kutukia. Ila dadapoa wamesaidia sana ubakaji.

Kuhusu kundi la wafangakazinkufanya ukahaba sehemu za kazi Nina ushahifi.

Kuna wadada wawili wake za watu. Mmoja anajiuza waziwaz, amenitega nikamkataa, nimekuta Hadi video za ngono kwa simu yake.

Mmoja anajifanya Smart ila wote wako after money.

Heshima kwako Nusratt
Unanipa confidence ya kujaribu jambo nililokuwa naogopa kulianzisha.
 
Back
Top Bottom