ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Imewahi kutokea ukashawishika kurudi? Au labda ulirudi briefly ukaacha tena?Yeah.
Ndio hali halisi hii
Imewahi kutokea ukashawishika kurudi? Au labda ulirudi briefly ukaacha tena?Yeah.
Ndio hali halisi hii
ulianza ukiwa na umri gani na ilikuaje ukaanza kipi kilikushawishi, umefanyakazi mikoa mingapi ?
je sasa una mahusiano, pia unahisi haujaathirika kisaikilojia hasa kwenye maswala ya mahusiano, mfano unaweza kua na upendo wa dhati na kutulia na mtu moja, mtu ulie nae kwenye mahusiano usipomwambia hatambui kama uliwahi kuwa dada poa ?
Hamsomagi nyuzi zangu za nyuma?Maswali
1. Uliingiaje kwenye hii kazi ya afisa udangaji
2. Hukuwahi pata mimba kazini?
3. Kwa sasa unatoa bure kwenye mahusiano au gharama ziko palepale
4. Umeingiza mabinti wangapi kwenye hii kazi kabla ya kustaafu
5. Kwa wiki unaweza kusanya sh ngapi biashara ikiwa imechanganya
6. Dau gani kubwa ulishawahi mbutua mteja?
7. Kuna tofauti gani kati ya mteja mzungu na mswahili
8. Kipi kilikusukuma kustaafu
9. Kitu gani huwarudisha afisa udangaji kazini baada ya kuacha kwa miaka kadhaa japo wana vitega uchumi?
10. Ushawahi kuimiss hiyo lifestyle ya afisa udangaji?
11. Unajisikiaje pale wateja wanapokumiminikia kuliko washindani wako?
Mkuu kuna kipindi zamani nilipita pale Corner Bar, Kijitonyama, wakati inachanganya sana. Da sikuamini. Kulikuwa na mpaka watoto wa shule za sekondari. Nilikuwa nakatiza basi dada mmoja anaonekana ni kama teja akaanza kiniita.... ''hoya sasa braza ni aje.... njoo basi nikuambie, kuto&mb alfu tano na kufi"r alfu kumi, ukipungukiwa unasema vile vile....''Ndio, najua.
Mtumeeee!!!Mkuu kuna kipindi zamani nilipita pale Corner Bar, Kijitonyama, wakati inachanganya sana. Da sikuamini. Kulikuwa na mpaka watoto wa shule za sekondari. Nilikuwa nakatiza basi dada mmoja anaonekana ni kama teja akaanza kiniita.... ''hoya sasa braza ni aje.... njoo basi nikuambie, kuto&mb alfu tano na kufi"r alfu kumi, ukipungukiwa unasema vile vile....''
You must have a clear verification of your contents and contexts before sending it to the audience.calm down gentleman![]()
Kila kitu kina faida zake hata kama hasara ni nyingi, wewe binafsi ulifaidika nini na hiyo kazi?Siwezi rudi
has happens ❌️❌️Has happened
Kw heshima naomba ujibu maswali ya huyu memba yana uzito saba tena moja baada la lingine kama ukiweza achana na huo uzi uliopita leo tuko hapaHamsomagi nyuzi zangu za nyuma?
Niliwahi toa hiyo nafasi.
![]()
Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa). Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:- Kuniuliza Swali, Kunikosoa kwa lolote, Kunishauri Chochote, Kunipongeza kwa lolote. ILA: Maswali yasiyo na tija na...www.jamiiforums.com
which verification is that gentleman while we always travel across Africa freely with no restrictions?🐒You must have a clear verification of your contents and contexts before sending it to the audience.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kuna mahali kaeleza changamoto ambazo hawezi kuzisahau ni 2.Kila kitu kina faida zake hata kama hasara ni nyingi, wewe binafsi ulifaidika nini na hiyo kazi?
Uliliwa nyuma?
To start writing a sentence with capital letter like "which ❌ Which ✅". Don't you even feel a shame from these minor cases?which verification is that gentleman while we always travel across Africa freely with no restrictions?🐒
plz mwalimu,To start writing a sentence with capital letter like "which ❌ Which ✅". Don't you even feel a shame from these minor cases?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Something has happens ❌has happens ❌️❌️
In this context:
has happened ❌️
happens ✅️
Samahani sana Mkuu, mimi huwa napenda sana kusahihisha na kusahihishwa sababu naamini hakuna mwenye brain capacity perfection to do anything per 100%.plz mwalimu,
you can go and deal with those issues within a specified platform?
avoid disturbing JF stakeholders 🐒