G
guest-1790917349
Guest
Nashukuru Mungu Niko poaNipo kipenzi, vipi wewe uko pouwa?
Nashukuru Mungu Niko poaNipo kipenzi, vipi wewe uko pouwa?
im proud of you my lady,

Nimecheka,sawa bwanaKabisa kabisa.
Na pia nyongeza katika hili, unaweza niona nimeshika chupa ya bia ukajua nakunywa bia kumbe sio.
Mengine ni siri kaka, nitashtakiwa
Asante sana.licha ya majibu mazuri na ushauri mzuri na wa tahadhari kwa wadada ambao bado hawajaanza tabia hiyo ya fedheha, ila wanaelekea huko,
nina maswali madogo mawili ya nyongeza.
1. Una mpango gani kabambe wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu wa kutoa elimu kwa vijana wadogo zako wa kike amboo wako kwenye hatari zaidi ya kutumbukia kwenye dhahama hiyo ya fedheha sana ya ufuska?
2. Je, hujawahi kufikiria kufungua kitu kama taasisi hivi ya kusaidia na kuwanusuru wadada wasitumbukie kwenye uraibu huo wa hatari na wa aibu kwa utu wao na familia zao?![]()
hawa wa road wanang'ang'ania mpaka elfu mbili. Ila shoo iliyotukuka hawatoi na buku mbili wanachukuaHao road hakuna wa milioni.
Kundi hili la road ni kundi la mwisho katika makundi 10 ya udangaji
naomba urudue tena kuandika aina 10 za makundi ya udangaji kwa mpangilio mzuri ili tuyafahamu vema.Hao road hakuna wa milioni.
Kundi hili la road ni kundi la mwisho katika makundi 10 ya udangaji
HAPANA Lior na laiti ningepata mwenzangu aliyewahi fanya au aliye kwenye hii kazi angekuthibitishia kaka.Nimekwambia sikatai kuwa hawafanyiwi.
Nimejiongelea mimi kuwa haitatokea.
Hao waliofanyiwa hayo ni ubahili wao tu uliwaponza. Hiyo biashara inachoangalia ni pesa tu. Ndio maana wapo wanaosema kwa kondom kiasi flani na bila kondom kiasi flani.
Hao wa kukupa paja ni wa elfu tatu tatu
Sera mbovu za CCM zimeongeza wengi kuwa makahaba kutokana na ukosefu wa ajira kuwa mkubwa kuliko kawaida kwahiyo uchawa wako unaofanya kwa Chama cha mambuzi ujirekibisheaise!
pole na hongera kwa ustahimilivu na subra katika kukabiliana na changamoto hizo.
swali do la nyongeza.
Una muda gani tangu ustaafu majukumu hayo magumu, mazito na hatari sana ya kujitaftia kipato kwa kugalagaza utu wako, au kazi bado inaendelea?
unawashauri nini ambao wanafikiria kuanza kazi hiyo ya fedheha mya lady?![]()
Washindani wanajua kushawishi kuliko wenye haki yao.Hili kundi la 10 ndio liko upenuni, kuna mengi ya kusema ngoja kwanza uzi utembee nitasema nilichokiona kwa hawa dadapoa hawako peke yao kwenye mawindo yao, wana washindani wao japo hawachukiani, sitawataja hata kwa code kwa leo, sio ile mishangazi