Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kwa definition hii uliyo iandika.
"........Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo........"

Basi wanawake wengi wao ni makahaba,japo wengi wanafanya indirect na hawakai barabarani.
Na huo ndio ukweli. Wote wanauza. No money no service.
 
WALE N KAMA SADAKA YA NDOA

MIMI HUWA NIKIWAPENDA NAWEZA WAHAIDI 20-30

WAKICHEZESHA VIZURI NAWAONGEZEA 10 YA OFFER

MKIWEZA KUWASAIDIA WASAIDIEN


KUNA MMOJA ALIKUWA NA MIMBA PALE SINZA MAPAMBANO ANAITWA TALL

MDADA NILIMPELEKEA MOTO NA MIMBA YAKE MPAKA 9MNTHS

YAAN NIKIFIKA LODGE NAULIZIA NAMBIWA YYUKO NA MTU NAMSUBIRIA AKITOKA ANAOGA NAPITA NAEE KWA MOTOOOOO

MTOTO AKIZALIWA AKAMPA JINA LANGU INGAWA MPAKA KESHO AKUWAHI NIAMBIA BABA WA MTOTO WAKE MAANA SIKUWAHI KWENDA BILA CONDOM

AKSEMA NAKUSHUKURU TU KWA ULIVYONSAIDIA

YAAN NIKIONA MWENYE MIMBA SIMWACHAGI LOH
Ukila mwenye mimba huachi ni sawa Nyerere alivyosema ukila nyama ya binadamu au mbwa huachi. Yaani wewe utakuwa mtumwa wa sample hizo tu.
 
Sio kila mwanamke anapenda kuwa kahaba,ni maisha tu kama unaweza kuwasaidia saidia sio lazima wakulipe ngono!Niliwai miliki bar nawaelewa sana wanayo pitia na jinsi nilivyokua humble walikua wanitonya kabisa yule ana Ngoma tunakupenda kaka etu usije jaribu na Siri nyingi sana za watu wanazo Hawa ma afisa utelezi.Wale wanaoshindwa kabisa tumia Kinga for ur own risk!!
20230814_212333.jpg
 
Hapana.
Ila siwezi jua maana kila mtu na kinga zake.
Ila ninachojua mimi ni kwamba unaweza kuingiliwa na mwanaume kumbe ana maruhani na hayapendi najisi, hapo lazima kiwake chumbani
Hiyo ya mteja mwenye maruhani ilishawahi kukutokea? na kama ilikutokea baada ya hapo ukafanyaje?
 
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibida wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia kundi hili ndilo huongoza kwa uchafuzi wa mazingira kwa kusambaza hovyo mipira ya kiume iliyotumika mitaani. Kwani hawana sehemu ya kufanyia kazi popote pale hupatana na kuingia kazini na wakimaliza huacha uchafu wao hapo

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.
Uzoefu miaka 15, japo nilisha katazwa na member mmoja humu , sasa natangaza kukuoa na Rb juu, ole wako uchepuke tena , nitakwashia moto mpaka , Dc wa Kisalawe afike.
Ni matumaini yangu mpaka unaandika haya , umemrudia mwenyzi Mungu.


Wana jf leo namtangaza rasmi Nusratt kama shemeji yenu, nitamchumbia ,na kumtolea mahali. Sasa anzia leo nisisikie mtu anamtongoza.

OK Mama watoto Nusratt njoo dm , na wana jf wote lazima changia harusi hii
 
Serikali haihusiki, wewe uzae mtoto wako halafu aende barabarani useme serikali, hiyo serikali mbona haikikamata dada zako ikawapeleka barabarani?
Sera mbovu za serikali zimeharibu uchumi na kuwafanya watu wawe maskini. Haya mambo kama sio mchumi huwezi kuyaelewa.
 
Sera mbovu za serikali zimeharibu uchumi na kuwafanya watu wawe maskini. Haya mambo kama sio mchumi huwezi kuyaelewa.
Nilisoma uholanzi, nchi imeendelea sana kule hakuna CCM.
Kuna mtaa unaitwa Red Light district. Ni mtaa maalumu kwa makahaba tuu wapo kwenye vyumba milango ya vioo unachagua unayetaka. Kuna makahaba kutoka kila pande ya dunia.
Kuna siku niliipita mitaa ya wajapani.
Wewe unaongea sababu umekaririshwa na chadema hapo ufipa kwamba Tanzania ya ccm ndo dunia kila kinachofanyika kibaya ni cha CCM.
 
Nusratt na LOTH HEMA
Kuna sehemu mesema watu wengi hawaingizi wanaishia kubaniwa mapajani. Mnamaanisha mhusika hawezi kujua kama anasugua paja au mkono? Mbona kuna tofauti kubwa sana kati ya paja na k, tena kwa hiyo dog style mbona kama ni ngumu sana kutogundua, nisaidieni hapo.
Labda kama mhusika amelewa sana.
wana mafuta fulani huwa wanapaka mapajani, yana utelezi mwingi, ukibaniwa huko ni mnato. Halafu wenyewe ndio hushika dushe na kulilengeshea huko kisha unaambiwa katika. Ukishika wewe mwenyewe ulenge tundu halisi unatukanwa, unaambiwa unataka kuingiza *. Wao dadapoa ni watata katika kufanya nao mapenzi
 
wana mafuta fulani huwa wanapaka mapajani, yana utelezi mwingi, ukibaniwa huko ni mnato. Halafu wenyewe ndio hushika dushe na kulilengeshea huko kisha unaambiwa katika. Ukishika wewe mwenyewe ulenge tundu halisi unatukanwa, unaambiwa unataka kuingiza *. Wao dadapoa ni watata katika kufanya nao mapenzi
Basi kuna watu wajinga dunia hii.
Lakini yewezeana ni wale wa dau dogo. Siwezi lipa 100k halafu anipangie, kwanza hata yeye huo uthubutu hana. Ila wale wa bao buk 2 nakubali
 
Ni kweli makahaba ni wengi lakini kupitia uzi huu naona wanunuzi ni wengi sana. Na mbaya zaidi kwa sasa mambo yote yako kiganjani watu wanajiamulia waagize bidhaa kupitia njia gani, Alibaba au Kikuu
 
Back
Top Bottom