Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Hakuna ujasiliamali hapo ingekuwa hivyo mtoa mada asingeachana na huo upuuzi unaouita ujasiliamali
Nakuelekeza kuna nchi Hawa wanalipa na Kodi Tena kwa efd mkuu

Unaachaje KUWAITA wajasirimali wakati KRKOO wanakimbia efd
 
Umeongea vizuri,hizi nyege nazo!
 
Usiombee wakuogeshe wakusafishe na dodokii wanatembea na uncode za wake zetu mkuuu

Wake zetu kuna mambo mazuri waliyafanya mwanzo wanandoa walipozoea ndoa...loh

Shabash
 
Nakuelekeza punguza hasira Hawa kuna nchi wanachangaia Pato la taifa siwezi kuwadharauu
Unatumia neno "hawa" akina nani kama sio dada zako na mama zako umeipenda hii mada kwakuwa ni miongoni mwa wanufaika bila kujali athari za waathirika kuwa ni ndugu zako

Acha kujificha kwenye kichaka cha nchi hapa tupo bongo tukiwa Europe tutaongea kivingine
 
Naongelea general
Waheshiniwe na ikiwezekana WALIpe Kodi kuchangia taifa letu
Tunataka kodii
 
Naongelea general
Waheshiniwe na ikiwezekana WALIpe Kodi kuchangia taifa letu
Tunataka kodii
Hatuwezi kufika huko kama unavyoomba na maombi yako hayatashinda

Hatuwezi kuwa na jamii ya kijinga kama unayoiomba wewe kama ni rahisi vaa uhusika tukuone kama kweli unamaanisha
 
Hatuwezi kufika huko kama unavyoomba na maombi yako hayatashinda

Hatuwezi kuwa na jamii ya kijinga kama unayoiomba wewe kama ni rahisi vaa uhusika tukuone kama kweli unamaanisha
Simba fc 2
Aka BODI ya ligi fc wanaingixa hukooo
PAMBA O
 
Wakikukuogesha wale unaweza hisi wanaondoaa na DHAMBI za Dunia

Mkeo kama ana akili lazima akulizee umetoka wapi

Moja unarudi mwepesiii
Kiakili kiafyaaaaa

HAPO ashazoea kukunyima anashangaa ANAKUPA unamwambia niamshe saa Kumii kumbe mda WA KWENDA kazini

Wamesaidia ndoa nyingi sana Hawa mkuu lazima niwape HESHIMA zaoo
 
Something has happens ❌
Something has happened ✅
Please kindly refer from the sentence quotation source.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
  • Pray until something has happens (structure ❌️ grammar ❌️)
  • Pray until something has happened (structure ✅️ grammar ❌️)
  • Pray until something happens (structure ✅️ grammar ✅️)
 
Haya maneno si mageni hapa jijini. Hata wasiokunywa pombe nao wana maneno kama haya.
 
  • Pray until something has happens (structure ❌️ grammar ❌️)
  • Pray until something has happened (structure ✅️ grammar ❌️)
  • Pray until something happens (structure ✅️ grammar ✅️)
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Unanipa confidence ya kujaribu jambo nililokuwa naogopa kulianzisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…