Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Hao wa barabarabi naonaga ni wezi tu, wengi ni wavuta bangi, sigara walevi, wamekomaa kwelikweli wengine hawana nuru kabisa.

Ukahaba unachakaza aisee, nadhani sababu kubwa ni kukosa muda wa kulala.

Kahaba wa miaka 30 bila vipodozi hatoboi, wengi wanajibandika makeup na kuvaa nguo fupi/ za mitego sana ili wavye ila nuri usoni inakua imepotea aisee...

Tofauti na hawa wanaokaa vyumbani, u/fisi, sudani, temeke nk kidogo wana nuru japo wengi(wahaya) sura za baba ila wananawiri hata bila makeup nyingi na kujisiliba.

Nusratt Wale wa kwenye vibanda wa buku tatu tatu, wanapata hela ya kutosha kweli na walivyo wengi na dau lilivyo dogo hivyo???
 
Ndio maana nimesema hili ndilo kundi la mwisho katika list ya makundi ya dadapoa.
Wanapata pesa, japo ndio hvo ya kuvuta nikuvute
 
🤣🤣🤣🤣 mzee wa wajawazito
 
Nusratt naomba unitajie chimbo la mishangazi
Nasubiria pls nineonba Toka mwanzooo watupe chimbo. La mashangazi na watoto wamdogo ukiacha pale buguruni trafficklyt washakubuhu WAMEANZA na WIZI loh

Juzi kati best wangu WA airport kapigwa laptop na katoto kadogo

Nahisi ameacha na zinaaa maana Ina kila kitu cha airport OFISIN kwake ACHA tu

Ukimuliza wamempitishaje na sie tujipange tusipitiwe kufanya Siri kama ya makadinalii ♌ I loh
 
Ndio maana nimesema hili ndilo kundi la mwisho katika list ya makundi ya dadapoa.
Wanapata pesa, japo ndio hvo ya kuvuta nikuvute
Boss tunwagie chimbo za mashangazi Tina ganzi wenzioo
 
Kawe kuna vitoto vidogooo unawapa bk Tano wanakupeleka CHOCHO mlinzi unampanbk 2 wnaabaki na tatu na n dk kumi ole wakoo naniiyakoo iwe inasubiria gitaaa utaisoma namba na wanaopokea kwanza kabla ya LOLOTE hakikisha MASHINE ishanyanyuka ysiliwe helà yakooo njia ya KWENDA sokoni saatatu mashallah
 
Goba nasikia kuna SEHEMU nasikia kuna mashangazi wao HAWATAKI helà zako wape pombe wale Msosi guest Yakoo sasa sijajua

Pombe za sh ngapi
Na chakula cha ngapi wanakula

Maana wanaweza kula savannah NNE na nusu Kuku ukiweka na lodge 40+ MSHAHARA huoo loh
 
Nolishawai kukoswa koswa kubeba kwenye difenda pale Sinza mori😂😂😂 Ila Nusrat Kuna umuhimu wa mimi na wewe kubadilishana uzoefu
 
Hao wapo kila sehemu wanabadilika kulingana na mazingira kuna wengine wapo Dubai. Wao wanataka usd 100,200
 
Mji.mbayaa huu offshore

Unaweza kuwalisha kuwanyeshwa ukashangaa gharama mara mbili
Bora ungejibetia zako mizigo ya sinza
Show mbili BK kumi yako kwaheri loh

M DEMU yoyote AKIANZA nasikia Njaaa
Naweza Toka mlango WA uwani loh

sijamgusa HATA sijiumizi KWENDA guest maana haitasimama.kwa.mamumivu ya helà ntakayotoa kwenye chakula weeeee

Mashangazi unaambiwa n mwendo WA savannah sijui esepeeerdow YAAN woiii

Yako Moshi pazurii wale wachaga mnajua mnavyoumizwa na mashangazi ya hapa Sina hamu nayoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…