Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Mzee unadhani ni watu ambao hawajaenda shule ndo wanajiuza??
Wengi wana elimu zao mzee, usiwachukulie poa kabisa
 
Nina swali,wewe umeacha au bado unaendelea?
 
Zamani nilijua Malaya NI watu wabaya sana 🙌
 
Naendelea kuchunguza visa, vituko na vitimbi vya dadapoa wa road
 
Kwa hiyo kuna siku wanatoa huduma wakiwa na mood na kuna siku hakuna mood. Je tofauti yake nini ni kwenye kushiriki tendo?
Je utelezi huwa mnaupataje kama unaweza ukahudumia wateja hadi 30?
 
Kwa hiyo kuna siku wanatoa huduma wakiwa na mood na kuna siku hakuna mood. Je tofauti yake nini ni kwenye kushiriki tendo?
Je utelezi huwa mnaupataje kama unaweza ukahudumia wateja hadi 30?
Ndio, si kila siku tuna mood.
Siku zingine zinapita kavu.

Mafuta yanatumika sanasana.
 
my lady,
ni changamoto gani nzito ambayo uliwahi kukumbana nayo na hutoisahau maishani mwako wakati ukitekeleza hayo majukumu ya muhimu ya utafutaji kazini kwako?
miaka 15 ni muda mrefu mno na for sure hakuna shaka juu ya uzoefu wako.
Asanti
We jamaa yani unatafutwa huko na Chichiemu wenzako leo hamjaweka uzi wa kusifia mitano tena wala wa kumponda Lisu kumbe umejaa huku unasikia raaaha mwenyewe🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…