Wafahamu macelebrity wa JF na sifa zao

KIDUKULILO.. Huyu mwamba huwa ananifurahisha sana,, kiufupi nazikubali sana nyuzi zake maana utacheka tu kwa hizo misifa
 
Kuduku Killo
 
Yaan umejoin 2015 afu ndo unajiona mkongwe ????
 
Yaan umejoin 2015 afu ndo unajiona mkongwe ????
Unaweza kumponda mtu hivyo kuwa si mkongwe kwa kuangalia mwaka aliojiunga.

Lakini nikupe mfano mimi sikuwa registered member ila nimekuwa msomaji mzuri sana wa nyuzi na forums mbalimali tangu mwaka 2007 lakini nikaja kutengeneza akaunti yangu rasmi mwaka huu 2022

Kwa mfano kuna forums ya mambo ya historia. Huenda watu wa kule wasiwe maarufu kama wa kwenye MMU na siasa.

Ila kwa heshima kule kuna mzee wetu Mohamed Said yule mzee ana madini mengi sana ya historia ya Tanganyika pia kuna Nyani Ngabu heshima kwao watu hao pia.
 
Kuna Kiranga huyu jamaa alinivutia sana kuipenda jamiiforums na kunisanua kuhusu hizi dini, kikubwa critical and logical reasoning nimejifunza kwa huyu mwamba, nakumbuka mtaa wangu ulikua jamii intelligence naanzia uko uko namalizia uko uko huyu jamaa bhana hoja zake kama haupo neutral hauwezi kumwelewa., kuna siku moja Mshana Jr aliingia kichwa kichwa akamuuliza "kiranga una akili?" Kiranga nae kabla ya kujibu akataka kujua akili ni nini kwaiyo akauliza "akili ni nini". Mjadala ukaishia hapo kila moja anahisi akijibu tu anapigwa knock-out mpaka thread ya 10 mshana hataki kufafanua akili ni nini ili ajibiwe na kiranga anataka afafanuliwe kwanza akili ni nini ili ajibu kama anayo au hana
 

Huu ndiyo ule wakati ambao mtu mjinga anaonekana anaonekana ni mwenye akili.

Jf kuna vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…