Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Yupo huyu Tumia akili japo huyu jamaa Mshana Jr ni noma maana nyuzi zake zinakuwa na wachangiaji sana.
Mshana Jr anaroga si kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo huyu Tumia akili japo huyu jamaa Mshana Jr ni noma maana nyuzi zake zinakuwa na wachangiaji sana.
Huwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..😂😂
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
Kicha kivipi mrembo?mzabzab ni kichaa kama vichaa wengine,
Sogea nikubutue,[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Ukalale.Kicha kivipi mrembo?
Alafu wee tako skonsi wanipa lini
That's my observation.For real?🤔🤔🤔
KIDUKULILO.. Huyu mwamba huwa ananifurahisha sana,, kiufupi nazikubali sana nyuzi zake maana utacheka tu kwa hizo misifaNiko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila ktk kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite JELEBRITY au sio
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao..
Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao...
Kuna watu ambao nyuz zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara..
Naomba niwatambue wafuatao km watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee
1;MSHANA JR;namuonaga km mtu fulani mwny hekima sana kupitia thread zake,usipite thread za huyu mwamba km unataka kupata madini mbalimbali
2;mzabzab; huyu mwamba matusi sana yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule,uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana uo haujaenda mjini
3;Gentamicine;kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitiw jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndaaaani though anaonekana raia hawamuelewi mpikaji sana wa data
4;Robert Heriel; Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi mwamba anatoa zile ngumu kumeza yaani kupitia misimamo yake so huwa siwez kupita uzi alouanzisha huyu jamaa
5;Rikiboy;Mzee wa uzi wa kula kimasihara yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpk mwisho wa hii app moja ya uzi ambao uko active mda wote washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia
6;Sky Eclat;yuko JF since 2012 namuona km Lady Jay Dee wa humu JF huyu madam,nawish nimuone yukoje
TOA APPRECIATION ZAKO KWA WANA JF wengne unaowakubali ambao wanafanya vizuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
Kuduku KilloNiko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila ktk kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite JELEBRITY au sio
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao..
Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao...
Kuna watu ambao nyuz zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara..
Naomba niwatambue wafuatao km watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee
1;MSHANA JR;namuonaga km mtu fulani mwny hekima sana kupitia thread zake,usipite thread za huyu mwamba km unataka kupata madini mbalimbali
2;mzabzab; huyu mwamba matusi sana yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule,uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana uo haujaenda mjini
3;Gentamicine;kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitiw jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndaaaani though anaonekana raia hawamuelewi mpikaji sana wa data
4;Robert Heriel; Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi mwamba anatoa zile ngumu kumeza yaani kupitia misimamo yake so huwa siwez kupita uzi alouanzisha huyu jamaa
5;Rikiboy;Mzee wa uzi wa kula kimasihara yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpk mwisho wa hii app moja ya uzi ambao uko active mda wote washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia
6;Sky Eclat;yuko JF since 2012 namuona km Lady Jay Dee wa humu JF huyu madam,nawish nimuone yukoje
TOA APPRECIATION ZAKO KWA WANA JF wengne unaowakubali ambao wanafanya vizuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
Naunga mkono hojaHuwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..😂😂
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majina yenyewe unaandika kama unaandika imla
Unaweza kumponda mtu hivyo kuwa si mkongwe kwa kuangalia mwaka aliojiunga.Yaan umejoin 2015 afu ndo unajiona mkongwe ????
Kuna Kiranga huyu jamaa alinivutia sana kuipenda jamiiforums na kunisanua kuhusu hizi dini, kikubwa critical and logical reasoning nimejifunza kwa huyu mwamba, nakumbuka mtaa wangu ulikua jamii intelligence naanzia uko uko namalizia uko uko huyu jamaa bhana hoja zake kama haupo neutral hauwezi kumwelewa., kuna siku moja Mshana Jr aliingia kichwa kichwa akamuuliza "kiranga una akili?" Kiranga nae kabla ya kujibu akataka kujua akili ni nini kwaiyo akauliza "akili ni nini". Mjadala ukaishia hapo kila moja anahisi akijibu tu anapigwa knock-out mpaka thread ya 10 mshana hataki kufafanua akili ni nini ili ajibiwe na kiranga anataka afafanuliwe kwanza akili ni nini ili ajibu kama anayo au hana
Sisi ni vidume, ni miamba yani....Huwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..😂😂
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
Na kweli Evelyn Salt inawezekana kweli wewe ni mwamba [emoji3]Sisi ni vidume, ni miamba yani....