Wafahamu macelebrity wa JF na sifa zao

Huu uzi ni batili
Yaani mnashindwa kuniona kiboko ya vijana wa hovyo?
 
Mkuu achana kidogo na maswali nyingi.. mtaani hali mbaya alafu umri hausubiri embu nipe connection ya mtaalamu wa mambo yako yale anifanyie wepesi mwaka wa 6 huu tangu namaliza chuo sijaonja kitu kinaitwa ajira
Huyo mtaalam naye mwanae anatafuta ajira au mtaalam wa kumfanyia mambo [emoji23].. Takucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…