Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mimi sijawahi kuamini kama alikuwa mwanamke.Yule mtu ni alikua anapenda ligi na matusi balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijawahi kuamini kama alikuwa mwanamke.Yule mtu ni alikua anapenda ligi na matusi balaa.
Umemaliza???...MxiewwAliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.
Sitafuti wachumba humu kama wewe...MxiewwwYule mtu ni alikua anapenda ligi na matusi balaa.
No ni dume lina mapembe!!!!!Mimi sijawahi kuamini kama alikuwa mwanamke.
.......
Panic mode activated.Sitafuti wachumba humu kama wewe...Mxiewww
Panic mode activated.
Wee bwana sikia usinitishe na matusi yako hakuna tusi silijui hapa ulimwenguni. Tukana matusi yote ukimaliza pita hivi.Ndio ukome kunifuata fuata, Nyoko wewe.
wewe ndio upite kushoto,mazoea na wewe sitaki usinilazimishe nyoko wewe,Wee bwana sikia usinitishe na matusi yako hakuna tusi silijui hapa ulimwenguni. Tukana matusi yote ukimaliza pita hivi.
😂😂Haaaaaaaaàa hàaaaaaaa uzi umegeuka sasa
Hatariii hhaaaahahaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]......
Duh!!!!Nilishangaa ID yake iko banned mda mrefu....Aliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haaaaaaaaàa hàaaaaaaa uzi umegeuka sasa
Mbona yupo? 😁😁😁Duh!!!!Nilishangaa ID yake iko banned mda mrefu....
Nitammiss sana Beck..
[emoji15][emoji15][emoji15]Mbona yupo? [emoji16][emoji16][emoji16]