Wafahamu macelebrity wa JF na sifa zao

Wafahamu macelebrity wa JF na sifa zao

Aliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.
Duh!!!!Nilishangaa ID yake iko banned mda mrefu....
Nitammiss sana Beck..
 
Back
Top Bottom