Wafahamu Majaji wa Mahakama ya Juu zaidi Kenya

Mkuu tusubiri mahakama itaamua, hata 2017 mlisema hakuna ushahidi wakaweka kina PLO Lumumba ila wakaangushwa na wanasheria wa NASA. So tusubiri hii ni last battle ya Uhuru Vs Ruto ndio itaprove kama Deep state is that deep ama ni story tu.
Hapo ndo unajua odinga hamna kitu, chochote kinachomhusu ni uhuru. Hta Angepta upresidaa angetajwa Sana uhuru. Dah Babu ni kinyago Cha mpapule kimechongwa na wenye Kazi Yao. Na hta wakibatilisha wakarud uchguzin Bado baba hataweza toboa. Wafuas wake Tyri washaingia baridi. Lkn sion Hilo likitokea, Hasa Sasa ukizingatia rais aliyepo madarakan anatakiwa Kuondka.

Naamin hta Babu asharidhika na kushindwa ila ni kawaida yake kwenda tbs kujua Kama kwwli ameshindwa kuhalali au la.

Lkn Pia inabuy time na kumpa Muda wa kuheal pamoja na wafuas wake
 
Mkuu fainali ni wiki hii tutajua mbivu na mbichi
 
Unadharau kura laki tatu?! Kwan huyo baba yenu kapigwa kwa kura ngapi?!
Hiyo kutoruhusu kutoka haisaidii kitu sababu chama kitabaki Azimio lakini wenye chama watasimama jukwaani kupigia kampeni Kenya kwanza we unadhani wapiga kura watafuata lipi? Mfano Mike Sonko na Alfred Mutua vyama vyao viko Azimio lakini kwenye kampeni walijitoa Azimio na kupigia kampeni Kenya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…