Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ndo sijawahi kuona picha ambayo hana make up plus filtersHamisa mzuri sana ata akiwa hana make up anavutia
Hao wasichana wa Bongo Movie ninaowapenda kwa mujibu wa macho yangu ni ROSE NDAUKA NA AUNTY EZEKEL TUHadi lulu chenga?, jokate nae?
Kajala,uwoya,lisa,nusura,monalisa
irene paul vipi?ongezea jokate na shamsa ford wengine wote fake tupu...!!!
nilimsahau welu sengo
irene paul vipi?
Uwoya napenda macho yake, Odama, Batuli, na Welu Sengo hao wametulia.
ukisoma comments za watu ndo unajua kweli uzuri ni subjective
Mi welu sengo tu, wengine wote makapi, hata nipewe na ghorofa juu bado siwataki
SIo wote wanaojua mwanamke mzuri yupoje, wengine wakiona mtu kavaa nguo za uchi basi ye kwake ni mzuri, sio kila mtu anaweza kuwa judge
UWoya nilikutana nae siku barabaran nikampigia honi akanitupia jicho dah mwil wote ulisisimka, mtoto anavutia balaa, ilikuwa mwaka juzi nadhan, alikuwa ana drive jeep nyeusi enzi izo uwoya ndo top in town, yan ana uzuri ule ambao dah ata sijui kuelezea, mtoto ana jicho