Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni tu, uwoya namba nyingine, sema siku izi kajiweka nyuma sana, ila kisu mbaya hakuna wa kumgusa
wolper maringo sana yule dada anajiona bab kubwa mnoo na kujiona ye ndo malkia ht km mzuri ila shobo sana
YUle ukimkuta kwenye anga zake dume tupu, anajishaua tu insta na kujiona mzur, sera sana lile, halaf ana demu wake ukitaka kugombana nae mguse uone atakavyoku chenjia
huo mtazamo tu, binafsi wanaonitoaga udenda ni;
1. Rose Ndauka
2. Jackline Wolper
3. Aunt Ezekiel
Mimi ninaowaona ni Rose Ndauka na Aunt Ezekel wengine wote kwangu ni chenga tu
Wema she is nothing but a grandmother now innovation ya new make up ndo zinampa credit bt she is not good..... Kuna kipind alinyoa para daaah..... Ila wema sepetu anakubalika coz hata mm namkubal bt ukija ktk swala la uzuri ktk Top 10 yeye ni wa mwisho
Jackline Wolper ni mzuri bt 2 me kapoteza points kama 2 first.analinga xana huyu demu halafu sura hana she is looking good kwasababu ya picha za Galaxy S6 edge na iPhone 6... Ila kama top 5 ingekua inaendelea namba 6 angechukua coz pale kati anatishaa(umbo bomba)
Tatizo la Rose Ndauka ni zile ndevu zake zinazotokana na mkorogo wa kulazimisha. Sijuwi kwanini pashukuna mwenziwe Le Mutuz asimshahuri kunyoa.
ndio, aunty ni mzuri,Aunt Ezekiel mzuri? Hii kali.
ndio, aunty ni mzuri,