Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

uwoya mzuri sana tu yani yule dada,ndauka na welu wale ndo wazuri
ht yule yobnesh kazuri tu
woote hao uwoya anawaacha mbali...!!

Acheni tu, uwoya namba nyingine, sema siku izi kajiweka nyuma sana, ila kisu mbaya hakuna wa kumgusa
 
wolper maringo sana yule dada anajiona bab kubwa mnoo na kujiona ye ndo malkia ht km mzuri ila shobo sana
 
wolper maringo sana yule dada anajiona bab kubwa mnoo na kujiona ye ndo malkia ht km mzuri ila shobo sana

YUle ukimkuta kwenye anga zake dume tupu, anajishaua tu insta na kujiona mzur, sera sana lile, halaf ana demu wake ukitaka kugombana nae mguse uone atakavyoku chenjia
 
YUle ukimkuta kwenye anga zake dume tupu, anajishaua tu insta na kujiona mzur, sera sana lile, halaf ana demu wake ukitaka kugombana nae mguse uone atakavyoku chenjia

hhhhhaaahhhaaa kumbeeee
 
naona mnajifariji tu.wema ndiyo habari ya mujini.no one is like her.
 
Hapo mimi kuna Batuli, kajala,Uyowa na Halima Yahya halafu wote wamezaa bado visu wana mizigo sasa nyuma duh..
 
Tatizo la hao wote waliotajwa ni machangu na wapo pale tu kwa ajili ya kujiuza/kujitangaza. Kwangu hawana nafasi!
 
Mimi ninaowaona ni Rose Ndauka na Aunt Ezekel wengine wote kwangu ni chenga tu


Tatizo la Rose Ndauka ni zile ndevu zake zinazotokana na mkorogo wa kulazimisha. Sijuwi kwanini pashukuna mwenziwe Le Mutuz asimshahuri kunyoa.
 
Wema she is nothing but a grandmother now innovation ya new make up ndo zinampa credit bt she is not good..... Kuna kipind alinyoa para daaah..... Ila wema sepetu anakubalika coz hata mm namkubal bt ukija ktk swala la uzuri ktk Top 10 yeye ni wa mwisho

ahahahah ahahaWewe unataka kumchokonoa Heaven on Earth, ngoja aje
 
Last edited by a moderator:
Jackline Wolper ni mzuri bt 2 me kapoteza points kama 2 first.analinga xana huyu demu halafu sura hana she is looking good kwasababu ya picha za Galaxy S6 edge na iPhone 6... Ila kama top 5 ingekua inaendelea namba 6 angechukua coz pale kati anatishaa(umbo bomba)

Jacky rangi inambeba na ana damu na nguo ila sura lake pana kama flampen, yan jicho moja lipo uku na lingine kuleee yan macho hayana ushirikiano kabisa
 
Kizuri ni kizuri tuu.
LULU huyu mtoto ni mzuri sana kwa sura ila tabia sijui coz nazisoma tuu kwenye Global Publisher.
 
Back
Top Bottom