Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

Kwangu Uwoya na Shamsaa dah" cjui ninapenda zaid watu waliozaa au nini wananivutia sana hawa. Haswaa wakivaa nguo zile za kuonesha maumbile yao mate lazima yanitoke
 
ukisoma comments za watu ndo unajua kweli uzuri ni subjective

Mi welu sengo tu, wengine wote makapi, hata nipewe na ghorofa juu bado siwataki
 
Attachments

  • 1433084887118.jpg
    1433084887118.jpg
    26.5 KB · Views: 493
Uwoya napenda macho yake, Odama, Batuli, na Welu Sengo hao wametulia.

UWoya nilikutana nae siku barabaran nikampigia honi akanitupia jicho dah mwil wote ulisisimka, mtoto anavutia balaa, ilikuwa mwaka juzi nadhan, alikuwa ana drive jeep nyeusi enzi izo uwoya ndo top in town, yan ana uzuri ule ambao dah ata sijui kuelezea, mtoto ana jicho
 
ukisoma comments za watu ndo unajua kweli uzuri ni subjective

Mi welu sengo tu, wengine wote makapi, hata nipewe na ghorofa juu bado siwataki

SIo wote wanaojua mwanamke mzuri yupoje, wengine wakiona mtu kavaa nguo za uchi basi ye kwake ni mzuri, sio kila mtu anaweza kuwa judge
 
UWoya nilikutana nae siku barabaran nikampigia honi akanitupia jicho dah mwil wote ulisisimka, mtoto anavutia balaa, ilikuwa mwaka juzi nadhan, alikuwa ana drive jeep nyeusi enzi izo uwoya ndo top in town, yan ana uzuri ule ambao dah ata sijui kuelezea, mtoto ana jicho

uwoya mzuri sana tu yani yule dada,ndauka na welu wale ndo wazuri
ht yule yobnesh kazuri tu
woote hao uwoya anawaacha mbali...!!
 
Back
Top Bottom