Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ahahahah ahahaWewe unataka kumchokonoa Heaven on Earth, ngoja aje
ahahahah ahahaWewe unataka kumchokonoa Heaven on Earth, ngoja aje
Jacky rangi inambeba na ana damu na nguo ila sura lake pana kama flampen, yan jicho moja lipo uku na lingine kuleee yan macho hayana ushirikiano kabisa
Pentzel yuko poa sana yule
Jacky rangi inambeba na ana damu na nguo ila sura lake pana kama flampen, yan jicho moja lipo uku na lingine kuleee yan macho hayana ushirikiano kabisa
mhHamisa mzuri sana ata akiwa hana make up anavutia
Hamisa mzuri sana ata akiwa hana make up anavutia[/QUOTuzuri ni weupe wa caroliteee?
Lile pengo ndilo linaloboa kbswolper maringo sana yule dada anajiona bab kubwa mnoo na kujiona ye ndo malkia ht km mzuri ila shobo sana
Acha utani mkuu[emoji1]irene paul vipi?