Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

Wafahamu mastaa wa kike Bongo Movie wenye mvuto zaidi

Jacky rangi inambeba na ana damu na nguo ila sura lake pana kama flampen, yan jicho moja lipo uku na lingine kuleee yan macho hayana ushirikiano kabisa

Hahaaaa
Khaaaa binamu nimecheka,ulivyomchambua!!!
Though sijawahi ona uzuri wake zaidi ya rangi
 
Jacky rangi inambeba na ana damu na nguo ila sura lake pana kama flampen, yan jicho moja lipo uku na lingine kuleee yan macho hayana ushirikiano kabisa

Hahahahahahahahahahahaaaaaaa.......
Radi itakayo kupiga bado iko gym inapasha....lol
 
1475560743831.jpg
kabla wachina hawajaingia tz
 
Mimi selection yangu inaanza hivii:-
-Jokate Mwegelo
-Monalisa
-Irene Uwoya
-Rose Ndauka
-Aunty Ezekiel

Wema hapana aisee, sio mzuri
 
Back
Top Bottom