Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Jamaa ana aleji na Waislamu. Ndio maana Kikwete aliwajaza hadi Hawa Ghasia alikuwa Waziri
Ile ishu ya yeye na katibu wake wa wizara nayo imechangiaHakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Baraza la mawaziri, watatu tu!Acha uchochezi.bashe karudi,waislam mkome baraza zima mko watatu tu safi sana muache kujikomba
Waache ujingaAhsantee mpenzi [emoji8] kwa kumuelewesha.!
Kuna watu naanza kuwaona vile wanaanza kuingiza mambo ya dini kwenye uteuzi huu na watu wanasadiki kuandika Uzi eti anauliza viongozi wa dini(Ya kiislam) kwanini wapo kimya juu ya ubaguzi (wanavyoita wao). Ni changamoto sana Mkuu
Alikuwa anamtaja Mungu (Allah) huku akijihudhurisha kwa wachawi wake.Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Baraza la maaskofuBaraza la mawaziri, watatu tu!
Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Alikuwa anamtaja Mungu (Allah) huku akijihudhurisha kwa wachawi wake.
Roho 2 zinazokinzana zimeji neutralise... so net effect yake kiroho inabaki kuwa ni zero!
Acha shobo dogo au unajiona siku hiz umekua uongoz ni kupeana vijitiHakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Mh ndugu said nasor bagaire
Huyu jamaa hana haiba ya uongoziUnagombana na mwekezaji wakati nchi imekatiwa msaada unategemea.nini? Halafu sio mkatoliki.
Utaisoma namba, nyanoko
Wee kajamaa una matumbo hataree! Eti vuwi wa nzipema!Kuna askari wa mabakamabaka kutoka ruvu kamuua wife (rip) wake na inasemekana ni wivu wa kimapenzi.
So sad!
Huyu na bashe wote chali
Dini zao pia zimewaponza
Lijinga, bashe yumo. Hakuna udini. Mlivyo wajinga na wapumbavu waziri mkuu muislamu, makamu muislamu, yet mnalalamika nyoko zenu. Nchi hii haiendeshwi kwa udini bali ni ufanisi wajinga kabisaHuyu na bashe wote chali
Dini zao pia zimewaponza
Huyu na bashe wote chali
Dini zao pia zimewaponza
Yeye na naibu wake wametoswa, walikuwa hawapeleki hela!Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Yupo benchi, ni sub ataingia muda wowote.Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Huyu mwamba ni damu ya chawa atii, amekomaa tangu mwanzo, wajumbe walimpiga kipigo heavy, na sasa kwenye teauzi hata hamna dalili amebaki anapayuka tu humu jukwaaniPia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Awamu hii haiangalii kazi bruh, inaangalia kiwango chako cha kusifu na kuabuduDah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi