Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Anjela KairukiSimuoni Angela Mabula wa Ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anjela KairukiSimuoni Angela Mabula wa Ardhi
Kigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.Ati Kigwangallah katemwa? Hii ni habari njema kusikia kwa leo.
Mayala ni MPUMBAVU na LOFA.Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Kwani ubunge alipata hadi apewe uwaziri? Tuanzie hapoAngela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Si ni daktati, aende kutibu wagonjwa pale Uhuru Hospital.Kigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.
Kwani kabudi wakati anaokotwa jalalani na kuwa waziri alikuwa Ni mbungeKwani ubunge alipata hadi apewe uwaziri? Tuanzie hapo
Mary Mwanjelwa?Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Anatakiwa akalee mtoto, naona hata ubunge alikosaAngela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Hongera Dr Faustine Ndugulile!
kuna mahali nilisikia anaumwa sana, utumbo unataka kutokaLuhaga Mpina kafanyaje?
Kupunguza matumizi ya chama maana sasa atalipwa mshahara na Bunge
Hivi Mary Mwanjelwa si alikuwa Naibu Waziri pia?Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Unameza!!Kwani wewe mkuu ukiwa unatafuna jojo ikiisha utamu huwa unafanyaje?
Watu hua mnafikiri kudogo sana, mtu kutokuchaguliwa uwaziri anaweza kupangiwa kazi nyingine na siyo ameachwa kwa ubaya,mnakariri kwamba lazim fulani tu na akiwa huyo fulani tu tena mnasema kweni wengine hawawezi,ana maslahi binafsi,anachofanya Magufuli ni watu wote wafanye kazi bila upendeleo..lakini akili za wengi ndo kama hizi finyuDah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Hili suala la ukomo tulishaambiwa atake asitake tutamwongezea! Ndugai.Kazi maalum.Kuondoa ukomo .
Kwenye ukomo naona maiti zitafufuka na kuingia barabaraniKazi maalum.Kuondoa ukomo .
Kina January hawatokubali. Walitegemea wagombee 2025.Tuombe uzima tutashuhudia mengi.Kwenye ukomo naona maiti zitafufuka na kuingia barabarani