Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

subiri february 2021
Huo ujinga haufanyiki. Inakuwaje unakuwa mfuatiliaji wa siasa za nchi hii na mshauri wa CDM lakini uelewi kuna vitu CCM hawawezi kufanya. 1. Kuongeza miaka ya Rais 2. Kuvunja muungano 3. Kuondoka madarakani bila nguvu za wananchi (hapa siongelei kura).
 
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine

Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu

Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;

1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza

2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde

3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya

4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni

5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo

6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu

7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye

8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima

9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa

10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu

11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji

12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Wengi wao ndio nawasikia hapa kwa mara ya kwanza,ila kwa HK du sijui yale magwanda ya khaki atayavalia wapi sababu kwa sasa pori kwa pori hakuna tena,itabidi aendelee kutuletea porojo za ''Nje ya Box''
 
Hata mimi nimeshangaa jamaa alikuwa active sana kama alivyokuwa William Lukuvi
Kamwele was active kafanya kazi hizo kwa kipindi kirefu,lakini Magufuli anamlinganisha na yeye.Au pesa za wakandarasi zimeleta zogo?
 
Huyo tayari alishateuliwa vya kutosha.

Juliana Shonza ni mtu pekee kwenye historia aliyeteuliwa ubunge wa bure ( Viti vya Rais na Viti Maalum) mara mbili mfululizo
Nop. Kuna akina mama wengi sana tu wanadunda na viti maalumu tangu 2005
 
Manaibu je?
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Harison Mwakyembe amepewa WIzara gani hivi sasa?
 
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine

Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu

Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;

1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza

2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde

3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya

4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni

5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo

6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu

7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye

8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima

9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa

10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu

11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji

12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
MKUU KUNA MKOA ULIOKOSA WAZIRI AMA NAIBU?
 
Back
Top Bottom