Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!

Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.

Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Ile ishu ya yeye na katibu wake wa wizara nayo imechangia
 
Ahsantee mpenzi [emoji8] kwa kumuelewesha.!
Kuna watu naanza kuwaona vile wanaanza kuingiza mambo ya dini kwenye uteuzi huu na watu wanasadiki kuandika Uzi eti anauliza viongozi wa dini(Ya kiislam) kwanini wapo kimya juu ya ubaguzi (wanavyoita wao). Ni changamoto sana Mkuu
Waache ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!

Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.

Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Alikuwa anamtaja Mungu (Allah) huku akijihudhurisha kwa wachawi wake.

Roho 2 zinazokinzana zimeji neutralise... so net effect yake kiroho inabaki kuwa ni zero!
 
Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!

Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.

Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501

Kazi sio kuuza sura
 
Acha shobo dogo au unajiona siku hiz umekua uongoz ni kupeana vijiti
 
Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!

Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.

Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501
Yeye na naibu wake wametoswa, walikuwa hawapeleki hela!
 
Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Huyu mwamba ni damu ya chawa atii, amekomaa tangu mwanzo, wajumbe walimpiga kipigo heavy, na sasa kwenye teauzi hata hamna dalili amebaki anapayuka tu humu jukwaani
 
Back
Top Bottom