Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Ni jambo jema kwa mheshimiwa rais kutokumtua Juliana Shonza maana muda wote alikuwa anamuwaza Mbowe tu na kufungua wasanii badala ya kuwaza namna gani ya kuwahudumia watanzania
 
Mizengo pinda amerudi tena kufanyaje?
Au ni mwanake?

Afu lukuvi hiyo wizara mbona mnampendeleaga sana?

Sijaipenda hiyo.
 
Nini hatma ya bashite ndo kusema rashid amechukua nafasi yake ya kamati ya fundi. Mbona kasaulika?
 
Wanaonufaika siku zote hawajali maumivu ya wasionufaika, isipokuwa wachache waadilifu sana. Hebu geuza picha na iwe rais Mwislamu amechagua baraza hili la Mawaziri 20 Waislamu na Wakristo 3 ! Naapa ungetoa sermon Parokia wewe…..!!!
 
Mi binafsi sioni ubaya wowote kusema kweli.! Zaidi nitaombea amani na upendo basi mambo ya dini kwangu hayana uzito wowote. Hata viongozi nachaguaga kwa uchapakazi wao na sio vinginevyo . Pole mkuu naona umeumizwa sana na maumivu ya mkuu
 
Yawezekana wewe binafsi usiwe na inhi, lakini si Watanzania wote wako hivyo. Ndiyo maana kiongozi mwenye hekima na busara lazima afanye uwiano, hata wa kubabaisha- 23-9 hivi! Imani za kidini ni sehemu ya utu wetu. Mkristo atajihisi "easy and relaxed' anapoona anashughulikiwa ofisini na Mkristo mwenzake, na halkadhalika Mwislamu; hata kama wote wawili ni waadilifu! Sasa fikiria katika nchi zetu za Kiafrika ambapo uadilifu kama huo haupo kwa 80%, Mwislamu ana chance gani katika 'full enjoyment of service delivery' katika Baaraza la Mawaziri kama hili? Na Kama alivyochagua MKULU huko juu ndivyo itakavyokuwa' replicated' kwa walio chini…. Haiwezekani hata kidogo katika hali hii ukaona Wizara moja ina watumishi Waislamu walio wengi (of course, labda wapiga deki, waaandaaji chai) ....aidha kwa sababu za kibaguzi au kwa sababu tu Waziri anakuwa 'comfortable' na watu aliowazoea na anaowajua. Hili suala msilifanye la kipuuzi na kwamba kila anayeliibua ni 'mdini'. Ila Wakristo walipoliibua hili wakati wa Mwinyi, Kikwete………..ni Wazalendo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…