Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
sio lazima mtu akiteuliwa ubunge apewe unaibu/uwaziri, isitoshe hili baraza kuna watu kibao tu hawatamaliza miaka 5 lazima watumbuliwe...so huwezi jua labda pole pole ataibuliwa badae wakati hasira za chadema juu ya pole pole zimepungua, kwani aliwahenyesha sana kwenye kampeni
 
Stanislaus Nyongo (aliyekuwa naibu waziri wa madini - out pia)
 
Cuf wamekosa uteuzi
Chsdema wamo
Watatu,,,
Wameunga juhudi wamelamba
 
Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!

Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.

Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na Fb
 
Kwahiyo unaona ukimtaja utabakwa au
 
Kuna siku alimshushia kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuondoka nyumbani kwake bila kumwambia alienda wapi na kumuacha mtoto na HG. Nadhani tangu wakati huo bado kanuna. Ngoja ninyamaze [emoji850][emoji850]
Jamani BAK
Nimecheka kama mazuri
 
Reactions: BAK
Bure kabisaa... umbea umbea tuu.. unajiuliza na kujijibu mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…