Issue ya Morogoro ilimuharibia
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Polepole hata ubunge amemustahi tu jamaa alikuwa anamfukuza.Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Anaenda kuwa Mwenyekiti wa BungeMkuu umesahau mbinu za Magufuli, yule Polepole kaenda pale kwa madhumuni maalumu,kamisaa wa chama bungeni.mfumo wa kijamaa.
sio lazima mtu akiteuliwa ubunge apewe unaibu/uwaziri, isitoshe hili baraza kuna watu kibao tu hawatamaliza miaka 5 lazima watumbuliwe...so huwezi jua labda pole pole ataibuliwa badae wakati hasira za chadema juu ya pole pole zimepungua, kwani aliwahenyesha sana kwenye kampeniPolepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Stanislaus Nyongo (aliyekuwa naibu waziri wa madini - out pia)Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki
3. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
4. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
5. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
6. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
7. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Hassan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Akipiga kazi kwenye camera za mediaDah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Ni Byabato mkuu,, kama sijakosea ni mbunge wa Bukoba mjini.Nishati- biabati, huyu ni mbunge wa wawapi mkuu
Hamna kituDah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Kwahiyo unaona ukimtaja utabakwa auHakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na Fb
Yupo pale pale!! Msukuma!Simuoni Angela Mabula wa Ardhi
Yupo pale pale!! MsukumaSimuoni Angela Mabula wa Ardhi
Atapigwa katerero back stageKwahiyo unaona ukimtaja utabakwa au
Jamani BAKKuna siku alimshushia kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuondoka nyumbani kwake bila kumwambia alienda wapi na kumuacha mtoto na HG. Nadhani tangu wakati huo bado kanuna. Ngoja ninyamaze [emoji850][emoji850]
Bure kabisaa... umbea umbea tuu.. unajiuliza na kujijibu mwenyewe..Hakuchapa kazi inavyostahili? Mbona alikuwa anaonekana mchapa kazi!
Alikuwa na kiburi? Maana Waziri Mkuu alimuonya aache kupoteza muda mwingi Twitter na Fb lakini akawa na kiburi, muda mwingi anajibishana na wapuuzi wa Twitter.
Au mkuu wa kaya amempa nafasi ajiandae kuwa mwanamitindo wa Twitter na FbView attachment 1642501