Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Acha kusingizia dini, jamaa allikuwa chenga.
Kama ni dini Mbona Ummy ameachwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsantee mpenzi [emoji8] kwa kumuelewesha.!
Kuna watu naanza kuwaona vile wanaanza kuingiza mambo ya dini kwenye uteuzi huu na watu wanasadiki kuandika Uzi eti anauliza viongozi wa dini(Ya kiislam) kwanini wapo kimya juu ya ubaguzi (wanavyoita wao). Ni changamoto sana Mkuu
 
Anaandaliwa kupewa kazi maarumu ,maana ndani ya CCM kuna kazi nyingi usishangae akawa msemaji wa Chama .😁😁😁😁😁😁😁
 
Hata hivyo hakugombea uwaziri
 
Jamaa ana aleji na Waislamu. Ndio maana Kikwete aliwajaza hadi Hawa Ghasia alikuwa Waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…