Lukwangule
Senior Member
- May 25, 2009
- 157
- 2
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kaz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kaz
Kwani alifaulu ubunge?Angela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
subiri february 2021Hawatoweza kufanya huu ujinga
Kupunguza matumizi ya chama maana sasa atalipwa mshahara na BungePolepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
ManaibuManaibu je?
ha haaaaPia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Kumpa uwaziri ni kumuongeze majukumu mengi, ana majukumu mengi ni vizuri wengine wapewePolepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Mimi nadhani wameamua kumwondoa kwenye inner circle ya CCM, nafasi yake ndani ya chama atapewa mtu mwingineKazi maalum.Kuondoa ukomo .
Angela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Kapelekwa kama mmbea wa raisi yeye.Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Please hii kitu ukomo mkiikomalia itakuwa. Afadhali tuinyamazie maana ni hatariKazi maalum.Kuondoa ukomo .
Asalama aleikumu Wakudadavuwa. Sikh nyingi sijakusoma bibie mambo vipi?1. Juliana Shonza
2.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kuna siku alimshushia kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuondoka nyumbani kwake bila kumwambia alienda wapi na kumuacha mtoto na HG. Nadhani tangu wakati huo bado kanuna. Ngoja ninyamaze [emoji850][emoji850]
Pole Pole kapelekwa bungeni kwenda kuwasimamia vyema wale Covid 19. Ndio mratibu wao kitaifa.Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Saaafi1. Juliana Shonza
2.