Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Jenister Mhagama naibu wake nani? Au amerudi Mavunde? Sijaona wizara hiyo katika orodha ya manaibu.
 
Hivi hiyo wizara ya muungano na mazingira kwanini muungano isingekuwepo kwenye wizara ya katiba na sheria
 
Manaibu je?
Manaibu

Biashara - Silaoneka
Ardhi - Anjelin mabula
Kazi - Katambi
Mqmbo ya ndani - Hamza
Fedha - mwanaidi
Sayansi - Kipanga
TAMISEMI- festo john
Nishati - Biabati
Utumishi- Ndejembi
Mawasiliano- Kundo andrea matthew
Mifugo na uvivu - Philipo
Madini - Ndulanye
Ujenzi - kasekenya
Ulemavu - Ummy ndalinanga
Maji - Prisca Mahundi
Sanaa - abdala ulega
Mazingira - mwita witara
EAC - William openshaw
Utalii- Marry Masanja
Tamisemi - Ernest
Kilimo - Mbashe
Afya - Dr Godwin mollel
Katiba na sheria - Pinda Godfrey Mizengo
 
Walikuwa wanadanganywa na jiwe,niliteeni gwajimaaa,nileteeeni Tulia ni tulie,leo wanakula kwa macho
 
Kuna siku alimshushia kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuondoka nyumbani kwake bila kumwambia alienda wapi na kumuacha mtoto na HG. Nadhani tangu wakati huo bado kanuna. Ngoja ninyamaze [emoji850][emoji850]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Duh
 
Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Pole Pole kapelekwa bungeni kwenda kuwasimamia vyema wale Covid 19. Ndio mratibu wao kitaifa.

Tofauti na hapo yule ni kowadi wa kawaida sana, mzee jiwe awe anapata pisi kali za kibunge.
 
Back
Top Bottom