Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Watu wameanza kufukua makaburi _joy__joy__joy_ kosa la  @hamisi_kigwangalla amewaambia wa ( 62...jpg
 
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine

Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki

3. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

4. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

5. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

6. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

7. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Hassan Zungu
Mbarawa alikuwa mnoko mno.
Alisababisha wajenzi waichukie wizara ya Maji.
 
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine

Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki

3. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

4. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

5. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

6. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

7. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Hassan Zungu
Kwani Ummy mwalimu hakuwa Waziri?
 
Manaibu

Biashara - Silaoneka
Ardhi - Anjelin mabula
Kazi - Katambi
Mqmbo ya ndani - Hamza
Fedha - mwanaidi
Sayansi - Kipanga
TAMISEMI- festo john
Nishati - Biabati
Utumishi- Ndejembi
Mawasiliano- Kundo andrea matthew
Mifugo na uvivu - Philipo
Madini - Ndulanye
Ujenzi - kasekenya
Ulemavu - Ummy ndalinanga
Maji - Prisca Mahundi
Sanaa - abdala ulega
Mazingira - mwita witara
EAC - William openshaw
Utalii- Marry Masanja
Tamisemi - Ernest
Kilimo - Mbashe
Afya - Dr Godwin mollel
Katiba na sheria - Pinda Godfrey Mizengo
Nishati- biabati, huyu ni mbunge wa wawapi mkuu
 
Back
Top Bottom