Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

2280861_IMG_20200123_063922.jpg
 
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine

Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa

2. Aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki

3. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

4. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla

5. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe

6. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga

7. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Hassan Zungu
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi zungu
 
Kuna siku alimshushia kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuondoka nyumbani kwake bila kumwambia alienda wapi na kumuacha mtoto na HG. Nadhani tangu wakati huo bado kanuna. Ngoja ninyamaze [emoji850][emoji850]
[emoji16][emoji16]aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Nadhani huyo chizi anasubilia uteuzi wa ukuu wa wilaya, kajipendekeza Le mutuz yuko wapi sasa analea tumbo tu na oklaa.
 
Kazi maalum.Kuondoa ukomo .
Unaakili ww mremboo,njoo nikuoe basi tuzae magenius... Hapa mpango nikuondoa ukomo, mbelembele katibu mkuu naye tutampangia kazi maalumu maana anapinga hiikitu!!
Yataandaliwa maandamano nchi nzima kumtaka asiondoke kwa kauli pendwa "mitano tena" nasheria itapitishwa chapu mjengoni kwa kishindo maana mjengo nikama kijani party cocus kwasasa. Katiba itabadilishwa ndowatu watajua hawajui ujue!!
 
Back
Top Bottom