Kwanza ondoa somalia, sudan na palestina.
Pili tuambiebna upande wa ubaya na uovu wao na ukatili wao.
2. Mbona wanawatesa sana waafrika wanaoenda kufanya kazi nchi zao?
3 watawala wao wengi ni wakatili sana. Sudan huko dafur nk na saudi nk
Sent using
Jamii Forums mobile app
Ina maana Palestina sio nchi ya Kiarabu au Wapelestina sio Waarabu, au? Hebu tujaribu kuyajibu maswali yako:-
1 mbona waarabu hawakimbilii nchi za kiarabu badala yake wanakimbilia ulaya na marekani?
Kwahiyo unapoona televisheni za Kizungu zikionesha Wa-Syria wakikimbilia kwenye nchi zao ndo basi tena unaamini kwamba Wakimbizi wengi wa Kiarabu wanakimbilia Ulaya na Marekani!
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya duniani hususani yale yanayohusiana na researches na data, bila shaka unaifahamu taasisi inayoitwa PEW!
Kama huifahamu, do your own research lakini kwa kifupi tu wanatuambia kwamba:-
More than 5 million displaced Syrians live in neighboring countries in the Middle East and North Africa. Those in Turkey (3.4 million), Lebanon (1 million), Jordan (660,000) and Iraq (250,000) account for about four-in-ten Syrians displaced around the world (41%), according to estimates based on data from the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR). More than 150,000 Syrians also live in North African countries like Egypt and Libya.
Vilevile:-
More than 6 million Syrians are internally displaced within their own country,accounting for about half (49%) of all displaced Syrians worldwide.
Kinyume chake, tunaambiwa:-
About 1 million displaced Syrians have moved to Europe as asylum seekers or refugees since the conflict began, according to asylum seeker data from
Eurostat, Europe’s statistical agency, and
UNHCR data on refugee resettlement.
Halafu, :-
About 100,000 displaced Syrians live outside Europe, Africa and the Middle East, primarily in North America.
Ukichanganya maelezo hayo, unakuta kumbe miongoni mwa wakimbizi wa Syria takribani 13 Million, zaidi wakimbizi milioni 6 wapo Syria, zaidi ya wakimbizi milioni 5 wapo nchi za Kiarabu na zingine za Kiislamu, na chini ya wakimbiki milioni moja unusu ndio wapo Ulaya na Marekani lakini wewe unaamini, au unamaanishwa WENGI wanaenda Ulaya na Marekani!
2. Mbona wanawatesa sana waafrika wanaoenda kufanya kazi nchi zao?
Hiyo ni roho mbaya tu na ukatili wa kibinadamu na wala hauna uhusiano na race, na ndio maana,
Gazeti la Mwananchi linatujuza kwamba,:-
Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15). Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimpiga mfanyakazi wake huyo sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo kumvuta nyama za sehemu za siri kwa kutumia bisibisi.
Halafu kuna hii hapa:-
Wanawake ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam baada ya mama mzazi wa msichana, Yusta Lucas (20) anayedaiwa kuteswa kwa kung’atwa na kuchomwa kwa pasi mwili mzima kumwona mwanawe kwa mara ya kwanza
Na hivyo ni visa vichache sana vya wafanyakazi wa ndani kuteswa na waajiri wao unless kama unaamini hayo matukio mawili yamefanywa na Waarabu waliopo TZ! Na ukienda kule MMU, simulizi nyingi za utakuta za wanaume kuwagegeda wafanyakazi wao wa ndani; mfanyakazi ambae ni innoncent na ana uwezekano mdogo sana wa kumkatalia Baba mwenye nyumba au watoto wake!!
3 watawala wao wengi ni wakatili sana. Sudan huko dafur nk na saudi nk
Mbona hueleweki?! Si umesema kwamba:
Kwanza ondoa somalia, sudan na palestina.
Si umesema mleta mada aiondoe Sudan kama nchi ya Kiarabu? Sasa inakuwaje tena Sudan hiyo hiyo unaiuhusisha na ukatili wa tawala za Kiarabu?! Au ulikuwa unamaanisha nini hasa uliposema "ondoa Sundan" na zile zingine?
All in all, unamaanisha nini hasa unaposema watawala wao wengi ni wakatili?! Manake hilo nalo naona linaturidisha kule kule ambako ukatili wala hauna race na ndio maana hata Afrika tumeshuhudia watawala wengi sana ambao walikuwa makatili! Tumesoma simulizi za akina Bokassa, Nduli Idd Amin, huko Ulaya tumewasoma akina Hitler, Mussolin! Hata akina mama nao, hawapo nyuma kwenye kundi la watawala madhalimu duniani! Kwa mfano Queen Marry of England, maarufu kama Blood Mary, ambae kwa kulazimisha Ukatoliki England, aliua zaidi ya WaProtestant 300 kwa kuwachoma moto! Hata baba yake nae, aliua karibu watu 100!! Tanzania nako, tunasikia kuna viroba vinaokotwa huko baharini vikiwa na maiti za Watanzania wenzetu!!!!!