Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Jihad wapi upumbavu tu wa Quran,mbona Bush amechinja waarabu laki mbili lakini huyo allah wao hawasaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jihad wapi upumbavu tu wa Quran,mbona Bush amechinja waarabu laki mbili lakini huyo allah wao hawasaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila chaka mkojo unakuuma [emoji15] unakuja huku tena kuharibu uzi wa watu [emoji53] kule umemwaga matusi hadi uzi wetu mtamu wa jua kuzama matopeni umefungwa [emoji24] [emoji24] kafir uozo wee [emoji53] [emoji33]
sidhani kama iran ni waarabu...Habari zenu watu wa JF..
Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-
1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.
2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.
3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.
4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.
5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.
6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.
7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k
8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.
9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.
10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.
11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.
12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.
13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...
AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Kila chaka mkojo unakuuma [emoji15] unakuja huku tena kuharibu uzi wa watu [emoji53] kule umemwaga matusi hadi uzi wetu mtamu wa jua kuzama matopeni umefungwa [emoji24] [emoji24] kafir uozo wee [emoji53] [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
eti ndio umeweka tafsida [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mtukanaji tu [emoji15]nyani haoni ..kun..le
eti ndio umeweka tafsida [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mtukanaji tu [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya Roho hukupewa dogo [emoji33]Ndivyo alikuambia Roho Mtakatifu wako hii leo??
Wewe uliyepewa kalitafute hilo Kojo Kwa hao wakubwa wako wa Kanisa usinijie mimi
Mimi siwashughulikii watu kama nyinyi , waendee haohao Maaskofu wako, kanisaniKojo kojo [emoji15] wewe unakunywa na kupiga [emoji117] View attachment 990782View attachment 990783 [emoji33] [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea mawazo yangu mkuu...! utakuta mtu anatetea muarabu kutofanya biashara ya utumwa na ilhali kuna trace kbs kwamba hayo mambo yalifanyika kweli..lakini hata historia za nchi zao hao waarabu zinawahukumu pia....Hakuna Mwenye nafuu naona mnahangaika tu ,..na kupaza shingo zenu kwa kusifia watu ""... waarabu na wazungu wote walifanya biashara ya utumwa ""... waliwatesa mababu na mabibi zetu vile walivyojisikia...so kutaka kutetea upande huo "" ni ujinga ...ukisoma vitabu vya dini kama Qur'an vinasema wazi kuwa mtume alikuta "" biashara ya utumwa ikiwa inafanyika "" na yeye ndiye aliye ikomesha katika wakati wake "" lakini alipoondoka biashara hii ilirudi tena kwa kasi "" tu " kama mlikuwa hamjui waarabu walikuwa wana wanunua Hawa watumwa toka kwa machifu wa wakati huo "" .... mkwawa amefanya sana biashara hii na waarabu ...na mtu mpaka unafnywa mtumwa means lazima "" kuna mates makubwa utakayo yapitia na hali ya kutendewa ubaya uliovuka utu ......"" wazungu washenzi na waarabu pia ni washenzi ....hakuna Mwenye nafuu tusiongopeane hapa
Mimi nawashughulikia wapiga ramli kama wewe [emoji33] [emoji33]Mimi siwashughulikii watu kama nyinyi , waendee haohao Maaskofu wako, kanisani
Mkuu hebu mjibu kwa vifungu mkuu tumalize utataAcha kupotosha, Nenda shule umekaririshwa visivyo.
Simply tu _ zanzibar kule. Si walitawalialwa na sultan ...au ile ilikuwa ni ardhi ya nchi yake !?Umeongea mawazo yangu mkuu...! utakuta mtu anatetea muarabu kutofanya biashara ya utumwa na ilhali kuna trace kbs kwamba hayo mambo yalifanyika kweli..lakini hata historia za nchi zao hao waarabu zinawahukumu pia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply tu _ zanzibar kule. Si walitawalialwa na sultan ...au ile ilikuwa ni ardhi ya nchi yake !?
Nawawekea hawa wazungu wachache walio pigania kupiga ban biashara ya utumwa [emoji117] View attachment 990956View attachment 990959View attachment 990960 ...naomba jina la maarabu mmojà aliye pigania kupiga ban utumwa [emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawawekea hawa wazungu wachache walio pigania kupiga ban biashara ya utumwa [emoji117] View attachment 990956View attachment 990959View attachment 990960 ...naomba jina la maarabu mmojà aliye pigania kupiga ban utumwa [emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawawekea hawa wazungu wachache walio pigania kupiga ban biashara ya utumwa [emoji117] View attachment 990956View attachment 990959View attachment 990960 ...naomba jina la maarabu mmojà aliye pigania kupiga ban utumwa [emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app