Wafahamu wachezaji kumi bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu Tanzania

Wafahamu wachezaji kumi bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu Tanzania

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.

Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.

1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
 
Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.

1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Usiache kunywa vidonge vyako ....tutakurudisha Milembe. Eti kale Katindo ndio namba Moja aseee..... Kwakweli uchizi hauponi unatulia tu....
 
Sio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etc
Hao waingie top ten? Wote nimewaona wakicheza isipokuwa Kimanda peke yake.
 
Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.

1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Mayele na Bangala bado sana,labda waende misimu mitatu
 
Back
Top Bottom