Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Mayele kwa kipi nipe ufafanuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliowataja juu kuna alie mfikia mafanikio Nonda Shaban hata Nusu?Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Ushawahi kusikia jina la MARK SIRENGO, km bado research tena ndugu, list yote hiyo utaikataaHawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Umri pia unachangia tujaribu kumuelewaSio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etc
Ni kweli mkuu umri na elimu ndio shida hapa, Nonda katika list hiyo hakuna hata aliyefikia nusu yake, Yanga Yosso hii iliyomfanya president Kikwete (kipindi hicho ni foreign minister)Aachen majukumu yake na kukimbilia taifa stadium kushughudia hawa yosso, binafsi sio shabiki wa mpira wa timu za hapa nyumbani.Umri pia unachangia tujaribu kumuelewa
Ulikuwa na miaka mingapi wakati Costantine Kimanda akikichafua Yanga?Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Umetoka kutupa chai Gospel singer bora,umekuja na hukuMayele yuko vizuri.. bangala ni mvp.
Amtoe nani hapo?Kipre tchetche hayumo?
Basi sawa
Ambani atamtoa nani?Bila Boniface Ambani huu uzi ni batili.
Ndio maana nonda yupo kwenye list.Hao uliowataja juu kuna alie mfikia mafanikio Nonda Shaban hata Nusu?
Mark namkumbuka na nimemuona sana lakini bado sijaona atamtoa nani hapo.Ushawahi kusikia jina la MARK SIRENGO, km bado research tena ndugu, list yote hiyo utaikataa
Nimewaona wachezaji wengi kuanzia 1996.Umri pia unachangia tujaribu kumuelewa
Hana atakayemtoa kwenye list hapo.Moses Odhiambo.
Nimeanza kutazama mpira mwaka 1996 hivyo nina uzoefu mkubwa. Wachezaji wengi nimewaona walipokuwa wanacheza.Ni kweli mkuu umri na elimu ndio shida hapa, Nonda katika list hiyo hakuna hata aliyefikia nusu yake, Yanga Yosso hii iliyomfanya president Kikwete (kipindi hicho ni foreign minister)Aachen majukumu yake na kukimbilia taifa stadium kushughudia hawa yosso, binafsi sio shabiki wa mpira wa timu za hapa nyumbani.
Kimanda sikuwahi kumuona live lakini nilimsikia redioni miaka ile. Sioni atamtoa nani hapo kwenye list.Ulikuwa na miaka mingapi wakati Costantine Kimanda akikichafua Yanga?
Kwa jinsi football ilivyokuwa tough siku hizi hao wawili wanastahili ingawa wapo ile timu hatuipendi.🤣Umetoka kutupa chai Gospel singer bora,umekuja na huku
Ubora ni pamoja na consistancy. Msimu mmoja hautoshi mzee. Ndio maana hata Sakho hatujataka aingieKwa jinsi football ilivyokuwa tough siku hizi hao wawili wanastahili ingawa wapo ile timu hatuipendi.🤣