TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Nonda shabani alikuwa hamna kitu.. Mmachinga kila mechi alikuwa anampiga Benchi Yanga walimuuza Vaal Fc ya South Africa kwa bei ya hasara sana...Ni aibu hii list kukosa Boniface AmbaniHawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban