Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etcPole sana kwa utafit finyu
Usiache kunywa vidonge vyako ....tutakurudisha Milembe. Eti kale Katindo ndio namba Moja aseee..... Kwakweli uchizi hauponi unatulia tu....Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Hapo ni wale waliowahi kuwa mvp wafungaji bora au wachezaji wa bei kubwa.Katika hai nani amekuwa MVP na mara mgapi
Weka utafiti usuokuwa finyu tuuone.Pole sana kwa utafit finyu
Hao waingie top ten? Wote nimewaona wakicheza isipokuwa Kimanda peke yake.Sio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etc
Acha kuongea kishabiki uangalie uhalisia.Usiache kunywa vidonge vyako ....tutakurudisha Milembe. Eti kale Katindo ndio namba Moja aseee..... Kwakweli uchizi hauponi unatulia tu....
Mayele na Bangala bado sana,labda waende misimu mitatuHawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Acha gubuMayele na Bangala bado sana,labda waende misimu mitatu
Mbona sijasema Haruna, Amis na Nonda?Acha gubu
Kipre Cheche hatari sijui yupo wapi.Sio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etc
Mayele yuko vizuri.. bangala ni mvp.Mayele na Bangala bado sana,labda waende misimu mitatu
Mechi moja aingie top ten?October 23, 2011
Yanga 1-0 Simba
[emoji460] Davis mwape
Davis mwape