Wafahamu wachezaji kumi bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu Tanzania

Hao uliowataja juu kuna alie mfikia mafanikio Nonda Shaban hata Nusu?
 
Ushawahi kusikia jina la MARK SIRENGO, km bado research tena ndugu, list yote hiyo utaikataa
 
Sio utafiti bali ushabiki maandazi. Walikuwapo kina Costantine Kimanda, Mbuyi Twite, Ngoma, Kipre Cheche, Taabani, Mwalala, AMBANI BONIPHACE etc
Umri pia unachangia tujaribu kumuelewa
 
Umri pia unachangia tujaribu kumuelewa
Ni kweli mkuu umri na elimu ndio shida hapa, Nonda katika list hiyo hakuna hata aliyefikia nusu yake, Yanga Yosso hii iliyomfanya president Kikwete (kipindi hicho ni foreign minister)Aachen majukumu yake na kukimbilia taifa stadium kushughudia hawa yosso, binafsi sio shabiki wa mpira wa timu za hapa nyumbani.
 
Ulikuwa na miaka mingapi wakati Costantine Kimanda akikichafua Yanga?
 
Ushawahi kusikia jina la MARK SIRENGO, km bado research tena ndugu, list yote hiyo utaikataa
Mark namkumbuka na nimemuona sana lakini bado sijaona atamtoa nani hapo.
 
Nimeanza kutazama mpira mwaka 1996 hivyo nina uzoefu mkubwa. Wachezaji wengi nimewaona walipokuwa wanacheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…