Nonda shabani alikuwa hamna kitu.. Mmachinga kila mechi alikuwa anampiga Benchi Yanga walimuuza Vaal Fc ya South Africa kwa bei ya hasara sana...Ni aibu hii list kukosa Boniface AmbaniHawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Umezaliwa mwaka gani!? Acha kufuata mkumbo wa cv ya Nonda kwamba amecheza Monaco,Portsmouth n.k enzi zetu wakati anacheza Yanga Nonda alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana sema ana bahati sana na kama kuwika kisoka aliwika huko mbele sio YangaHao uliowataja juu kuna alie mfikia mafanikio Nonda Shaban hata Nusu?
Umezaliwa mwaka gani!? Acha kufuata mkumbo wa cv ya Nonda kwamba amecheza Monaco,Portsmouth n.k enzi zetu wakati anacheza Yanga Nonda alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana sema ana bahati sana na kama kuwika kisoka aliwika huko mbele sio YangaHao uliowataja juu kuna alie mfikia mafanikio Nonda Shaban hata Nusu?
Mpira anaoucheza sakho sidhani kama atakuja kuingia huku labda abadilike sana siku zijazo. Mchango wake kwenye mafanikio ya timu sio mkubwa sana.Ubora ni pamoja na consistancy. Msimu mmoja hautoshi mzee. Ndio maana hata Sakho hatujataka aingie
Mimi pamoja na kuwa simba damu bado ninaona mayele ni mchezaji mzuri.. ameisaidia sana yanga kuwa na mafanikio yaliyoanza msimu uliopita.Mayele kwa kipi nipe ufafanuzi
sioni sababu ya kuendelea kujadili hapaUmezaliwa mwaka gani!? Acha kufuata mkumbo wa cv ya Nonda kwamba amecheza Monaco,Portsmouth n.k enzi zetu wakati anacheza Yanga Nonda alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana sema ana bahati sana na kama kuwika kisoka aliwika huko mbele sio Yanga
Ambani alipotea kirahisi sana na hakuna mafanikio makubwa yanayoweza kuhusishwa naye.Nonda shabani alikuwa hamna kitu.. Mmachinga kila mechi alikuwa anampiga Benchi Yanga walimuuza Vaal Fc ya South Africa kwa bei ya hasara sana...Ni aibu hii list kukosa Boniface Ambani
Kwako wewe mtu bora ni anayefunga.Mpira anaoucheza sakho sidhani kama atakuja kuingia huku labda abadilike sana siku zijazo. Mchango wake kwenye mafanikio ya timu sio mkubwa sana.
Burudani ya mpira ni magoli.. yaani chenga zinasahaulika haraka sana lakini sio magoli.Kwako wewe mtu bora ni anayefunga.
Mwalala sio mchezaji wa kuingia kwenye top ten. Namfahamu sana kijana enzi zile pale Yanga.Unamjua Ben Mwalala wewe?
Hahaha kumbe ulimsikiaKimanda sikuwahi kumuona live lakini nilimsikia redioni miaka ile. Sioni atamtoa nani hapo kwenye list.
Ambani ndio mchezaji mgeni ambaye alifunga mabao mengi kwa msimu mmoja tena msimu wa kwanza tu na rekodi yake haijawahi kuvunjwa,Ambani alipotea kirahisi sana na hakuna mafanikio makubwa yanayoweza kuhusishwa naye.
Nonda ndio maana amekaa namba kumi hasa kwasababu alifanikiwa zaidi katika soka lake.
Black berryMoses Odhiambo.
Ndio nini?Black berry
Umesema ukweli wewe bado mtoto sana kwa hiyo hata Kimanda haujui sifa zake? Je kichochi Lemba ama Cheche Kagile hata hauna wazo kama walicheza mpira. Kua kwanza ndio uandike utafiti.Hao waingie top ten? Wote nimewaona wakicheza isipokuwa Kimanda peke yake.
Nonda Shabani ameingia kwa kigezo gani hapa? Wakati akiwa Yanga alikuwa hata namba hapati hadi akaamua kutimka. Kama ninakumbuka vyema hajawahi kucheza mechi zaidi ya Nne akiwa Yanga na zote alitokea benchi.Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban
Kipre TchetcheHawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee.
1. Luis Miquissone
2. Clatous Chama
3. Emmanuel Okwi
4. Patrick Mafisango
5. Amissi Tambwe
6. Meddie Kagere
7. Fiston Mayele
8. Yannick Bangala
9. Haruna Niyonzima
10. Nonda Shaban