Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Akili za udini zitatufikisha pabaya kama sio kesho basi keshokutwa ama mtondogoo.

Sasa hao walikuwa waislam kwani waislam walikuwa wanapata bando la bure ama?
Mie naona yeyote mwenye sifa ana haki ya kukaa haijalishi kabila wala dini yake.
Ndiposa tumeamua kuondoa sintofahamu kwenye jamii kwamba wasihusishwe na udini? Au tuombe Moderator abadili heading na kusema wahusishwe na udini?
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
Chukulia mfano wangekuwa wote hao wakristo ww binafsi kama mkristo ungefaidika na nini? Kiufupi hakuna manufaa yeyote sana sana wanakula mema ya nchi wao na familia zao tu.

Kingine ukiangalia cv za hao wajumbe unaona kabisa zimeshiba sasa shida Iko wapi wakiteuliwa kushika hizo nafasi? Tuache kujadili ujinga bwana mnaboa kichizi
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​

1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti),
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.

Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.

Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Kuwaza kubalansi kila nafasi kwa kuangalia majina ya kijihad au kigalatia NDIO UDINI wenyewe.
Mimi sioni shida kama wateuliwa wote wana majina ya kihindi tu au kiarabu tu au kizungu tu au kimatumbi tu. Muhimu ni kuwa vigezo vya dini havikuangaliwa wakati wa kuteua bali weledi, uwezo na sifa za kitaaluma pekee.

After all sio kila John Smith ni mkristo wa kweli na sio kila Shabani Masoud ni mwisiam wa kweli.
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
Bodi la bakwata labda
 
WEwe huoni Shida.
Kwanini Serikali ikitunga sheria inasema LAzma kuwe na viti maalum na itapewa binadamu wenye jinsia ya KE?
Kwanini Baraza la kata Linasema lazma liundwe na wajumbe watano na WAwili lazma wawe wanawake?
Kwanini raisi aliyeko madarakani na wapambe wake kila siku wanasema HUU NI WAKATI WA WANAWAKE?
wewe ndio una mawazo peke saana duniani?
Kwahiyo ulipossema sijui siyo kila john ni mkristo na shaban ni muislamu unataka akutetea ama kuleta hoja gani?
 
Chukulia mfano wangekuwa wote hao wakristo ww binafsi kama mkristo ungefaidika na nini? Kiufupi hakuna manufaa yeyote sana sana wanakula mema ya nchi wao na familia zao tu.

Kingine ukiangalia cv za hao wajumbe unaona kabisa zimeshiba sasa shida Iko wapi wakiteuliwa kushika hizo nafasi? Tuache kujadili ujinga bwana mnaboa kichizi
Ili kukata mzizi wa fitna, ungetuwekea hizo cv.

Amandla...
 
Binafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.

Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Nyie mnasoma na kuja na majibu yeni, sioni tatizo kabisa kwenye huu uzi
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
Naona Sigida tupu, dah ila jamani!
 
Back
Top Bottom