Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ndiposa tumeamua kuondoa sintofahamu kwenye jamii kwamba wasihusishwe na udini? Au tuombe Moderator abadili heading na kusema wahusishwe na udini?Akili za udini zitatufikisha pabaya kama sio kesho basi keshokutwa ama mtondogoo.
Sasa hao walikuwa waislam kwani waislam walikuwa wanapata bando la bure ama?
Mie naona yeyote mwenye sifa ana haki ya kukaa haijalishi kabila wala dini yake.
Kazi yao ilikuwa kuonveza gharama tuu kwa watumiaji.Ahahaha, kumbe ni akina Osman, fatuma,mzee, khalifa;
Shirika lazima lifeli
Chukulia mfano wangekuwa wote hao wakristo ww binafsi kama mkristo ungefaidika na nini? Kiufupi hakuna manufaa yeyote sana sana wanakula mema ya nchi wao na familia zao tu.Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
Kuwaza kubalansi kila nafasi kwa kuangalia majina ya kijihad au kigalatia NDIO UDINI wenyewe.Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-
1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti),
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe
KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.
Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.
Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?
Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Bodi la bakwata labdaNasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
WEwe huoni Shida.Kuwaza kubalansi kila nafasi kwa kuangalia majina ya kijihad au kigalatia NDIO UDINI wenyewe.
Mimi sioni shida kama wateuliwa wote wana majina ya kihindi tu au kiarabu tu au kizungu tu au kimatumbi tu. Muhimu ni kuwa vigezo vya dini havikuangaliwa wakati wa kuteua bali weledi, uwezo na sifa za kitaaluma pekee.
After all sio kila John Smith ni mkristo wa kweli na sio kila Shabani Masoud ni mwisiam wa kweli.
Naomba link ya uzi wako wa maana, tafadhali sana.Ujinga wetu tunatumia mda mwing kujadili vitu vya ovyo!
Mheshimiwa Zelensky umejifunzia wapi kiswahili cha fitana namna hii? una mwanamke wa Kizanzibari toka Makundu-uchi?Ilitakiwa isomeke hivi "Hajjat avunja genge la mahujaji tcra".
Ili kukata mzizi wa fitna, ungetuwekea hizo cv.Chukulia mfano wangekuwa wote hao wakristo ww binafsi kama mkristo ungefaidika na nini? Kiufupi hakuna manufaa yeyote sana sana wanakula mema ya nchi wao na familia zao tu.
Kingine ukiangalia cv za hao wajumbe unaona kabisa zimeshiba sasa shida Iko wapi wakiteuliwa kushika hizo nafasi? Tuache kujadili ujinga bwana mnaboa kichizi
Ilitakiwa isomeke hivi "Hajjat avunja genge la mahujaji tcra".
Jana usikuLini tena hii...?
Nyie mnasoma na kuja na majibu yeni, sioni tatizo kabisa kwenye huu uziBinafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Acha ujinga wako wewe, ina maana wakiwapo ni mambo ya gahawa na kashata tu?Ukiona sehem wamejaa kina omary..mud n.k...hamna cha maana kinaendelea hapo
Naona Sigida tupu, dah ila jamani!Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
Upo Uzi mwingine humu ndani unaowaongelea hao wajumbe utafute uone CV zao.Ili kukata mzizi wa fitna, ungetuwekea hizo cv.
Amandla...