Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Kwanini yisianze na Jaji Warioba? Yeye ni mteule wa Rais Kikwete, Mwenyekiti wa CCM naye mgombea. Alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mwinyi, akafukuzwa kazi bila huruma kwa kutowajibika, fagio la chuma. Then twende kwa Mapuri. Ana kura 1.
 
Warioba ni Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…