Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Wajumbe hawa kwa kweli walitakiwa wawe wanakula pensheni zao badala ya kutumika

16 January 2025
Mtwara, Tanzania

Mjumbe wa INEC akiwa kazini
View attachment 3302963
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar afunga mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi Mkoa wa Mtwara
View attachment 3302971
Dkt. Zakia Mohamed Abubakar (kulia) mjumbe wa INEC akifatilia kwa ukaribu teknolojia
Daaah
 
Eti Tume Huru uhuru wa NYOKOO.
Huko ccm uhuru definition yake ni nini au askari kupiga gwaride December 9?
 
Screenshot_2025-05-03-17-20-26-1.png
 
Chadema wasishiriki mpaka pale katiba na sheria za uchaguzi zitakapokaa vizuri. Hili ndilo lengo la muda mrefu.
 

Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)

Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.

Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.

Pia soma > KWELI - Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM


Toa maoni yako.

Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.
View attachment 3324419
Okay
 
Wapiga kura wa sasa ni zaidi ya nusu ya Raia wote wa Tanzania! Hadi vichaa wameshangaaa!!
 
Back
Top Bottom