Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Wafahamu Makamishna/Wajumbe wa Tume HURU ya Uchaguzi na wasifu wao,


1. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele - Mwenyekiti wa Tume,

2. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk - Mjumbe/Kamishna,

3. Mheshimiwa Jaji Mahakama Kuu Asina A. Omari - Mjumbe/Kamishna,

4. Mheshimiwa Balozi Omari Ramadhan Mapuri - Mjumbe /Kamishna - Katibu Mwenezi CCM [Mstaafu], Balozi & Waziri Mambo ya Ndani [Mstaafu],

5. Mheshimiwa Magdalena Kamugisha Rwebangira - Mjumbe/Kamishna,

6. Mheshimiwa Zakia Mohamed Abubakar - Mjumbe/Kamishna.


SUMMARY
DINI: Waislam - 4
Wakristo - 2

JINSIA: Wanaume - 3
Wanawake - 3

CHAMA: CCM - ?
Upinzani - ?

Upande wa Muungano: Tanganyika - ?
Zanzibar - ?
Source: INEC | Wajumbe wa Tume
CHAMA: CCM - 6
Upinzani - 0
 
Tume hii ni haramu, imejaza makada wa CCM
Hapo hata samia apate kura elfu 70 anatangazwa .
Halafu Kuna Mchaga mmoja wa Rombo anasema tume ni huru kabisa na kanuni za maadili ziko safi kabisa .
Kuna mwingine wa Chadema anasema tugombee tutapata ruzuku anasahau kuwa MAWAKALA siku zote wanawekewa mtutu wa Bunduki wasanii matokeo feki. Ama akatae atolewe nje kwa mateke au achukue hela asaini .

Hapa Tanganyika Haki italetwa na Mungu mwenyewe kuamua huu ugomvi .
 
View attachment 3302178

Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)

Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.

Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.

View attachment 3302176

Toa maoni yako.

Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.
Samia uchu wa madaraka umempofusha, lengo ni kuendelea kuinufaisha Zanzibar na familia yake kwa kutumia raslimali za Tanganyika
 
Back
Top Bottom