Tumeccm itakuwa ikitangaza kura zao wenyewe kwani watanzania wengi hawatajitokeza kupiga kuratutazuia uchaguzi wajiandae kutuua na mungu anaona!
Tumeccm na Polisiccm watahesabu kura zao haramu za kishetani lakini kura za watanzania hawataziona kwani wengi hawatajitokeza kupiga kura kisha Tumeccm itangaze kinyume na chaguo laoHuwezi kujua kuwa watu wanajali matumbo Yao kuliko kuwatumikia wananchi. Kama lengo ni UCHAGUZI uwe HURU,TUME ya UCHAGUZI iwe HURU hakuna namna nyingine.
Angalau Kenya unaona kabisa kuna baadhi ya wajumbe wa tume hawakubaliani na baadhi ya maamuzi ya tume.Na nyie shindeni muunde Tume yenu,hata kule Kenya Tume Ina wajumbe ambao ni Wafuasi wa Vyama.
Mwisho hata referee anaweza kuwa Yanga au Simba lakini Yuko kati kuamua dimba.
Polisiccm na Tumeccm wanaenda kubaka kunajis sanduku la kura haki ya kuchagua kuchaguliwa imeporwa na ccm kwa njia za kishetaniIf you can't fight them, join them
Tumeccm na Polisiccm sasa ni janga la Taifa Nchi inaendeshwa kienyeji sanaAngalau Kenya unaona kabisa kuna baadhi ya wajumbe wa tume hawakubaliani na baadhi ya maamuzi ya tume.
Sasa mkuu hebu fikiria kweli mtu kama Ramadhan Omar Mapuri ambaye ni Katibu mwenezi mstaafu na kada mtiifu wa CCM anawezaje kuwa mjumbe wa inayoitwa tume huru ya uchaguzi?
Unajua kuna vitu vingine CCM inavifanya bila hata aibu.
Bora wangeweka wajumbe ambao ni makada wa CCM ila wasiofahamika kwa umma kama kina Mapuri lakini kumuweka mtu kama Mapuri kwa mfano ni kuwakosea heshima wananchi.
Tanzania hakuna Tume ya uchaguzi, Tanzania kuna kikundi haramu Tumeccm hicho kikundi cha kishetani ndicho kinapora haki ya kuchagua na kuchaguliwa, Dawa ya kukomesha vikundi vya hovyo hovyo kama hiyo Tumeccm ni kuwafungulia kesi mahakama za kimtaifa ili ccm wazinduke waache udikiteta waoIbara 74(14) ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ inatamka
"Itakuwa ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chochote Cha siasa"
Watu hao kwa mujibu wa Ibara 74(15) ni
-Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi.
-Makamu mwenyekiti.
-Wajumbe wote wa tume ya uchaguzi.
-Mkurugenzi na watumishi wote wa tume ya uchaguzi
-Wasimamizi wote wa uchaguzi katika mji na wilaya zote.
Kuna uwezekano kweli akosekane mwanaccm hata mmoja katika watu wote hao walioainishwa hapo juu, wakati baadhi yao pia ni wateule wa rais!
Bado Kuna watu wanaamini uwanja ni sawa na kweli kuna "uchaguzi"!
Mapuri alikuwa katibu mwenezi wa CCMWataje
G55 ni mapunguani. Ni mpango uliasisiwa na CCM kwa mgongo wa MBOWEHapo hata samia apate kura elfu 70 anatangazwa .
Halafu Kuna Mchaga mmoja wa Rombo anasema tume ni huru kabisa na kanuni za maadili ziko safi kabisa .
Kuna mwingine wa Chadema anasema tugombee tutapata ruzuku anasahau kuwa MAWAKALA siku zote wanawekewa mtutu wa Bunduki wasanii matokeo feki. Ama akatae atolewe nje kwa mateke au achukue hela asaini .
Hapa Tanganyika Haki italetwa na Mungu mwenyewe kuamua huu ugomvi .
Mr watu wapo tayari kupiga kura na kugombania nyadhifa mbalimbali ila tunataka tume huru ya uchaguzi sio kuenda kupoteza muda juani kupanga mstari.Endeleeni kujitekenya tu
Uchaguzi upo pale pale
Na nyie tafuteni Tume yenuHiyo ni Tumeccm yafaa isimamie uchaguzi wa ccm pekee siyo uchaguzi wa Nchi, Tumeccm ipo kwa njia haramu za kishetani haina uhalali
Wasiokubalina ni Kwa sababu wanaegemea Vyama tofauti,mpaka hapo Kuna maana gani? Ruto aliiba uchaguziAngalau Kenya unaona kabisa kuna baadhi ya wajumbe wa tume hawakubaliani na baadhi ya maamuzi ya tume.
Sasa mkuu hebu fikiria kweli mtu kama Ramadhan Omar Mapuri ambaye ni Katibu mwenezi mstaafu na kada mtiifu wa CCM anawezaje kuwa mjumbe wa inayoitwa tume huru ya uchaguzi?
Unajua kuna vitu vingine CCM inavifanya bila hata aibu.
Bora wangeweka wajumbe ambao ni makada wa CCM ila wasiofahamika kwa umma kama kina Mapuri lakini kumuweka mtu kama Mapuri kwa mfano ni kuwakosea heshima wananchi.
Sheria Vs Utashi.Lipo kisheria
Dawa yao ni kuwasomea Alibadiri kali sana ili iwe fundishoTime imejaa makada wa CCM tupu
Kihistoria ni mnyamwezi wa Tabora wazazi wake walilowea ZanzibarView attachment 3302178
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.
View attachment 3302176
Toa maoni yako.
Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.
Kwenye mazingira yapi wakati kutwa mnawinda watu kuwabambikia kesi za Uhaini kwa njia haramu za kishetaniNa nyie tafuteni Tume yenu
Wapinzani wa Zanzibar watamsomea Albadiri kubwa mpaka anyookeKihistoria ni mnyamwezi wa Tabora wazazi wake walilowea Zanzibar