Huyu ni Prof. Michael Ndanshau na sio Kailima. Wakati huo alikua na ndio mwenyekiti wa CCM tawi la chuo kikuuAisee....
Nina uhakika kina Mkwawa na kina Mirambo, walikuwa hawashikani mikono hivi......
View attachment 3302201
Huyu ni Prof. Michael Ndanshau na sio Kailima. Wakati huo alikua na ndio mwenyekiti wa CCM tawi la chuo kikuuAisee....
Nina uhakika kina Mkwawa na kina Mirambo, walikuwa hawashikani mikono hivi......
View attachment 3302201
Sema uchafuzi uchaguzi una standards zakeEndeleeni kujitekenya tu
Uchaguzi upo pale pale
Mtachambuliwa mpaka uvunguniHii ya mwigulu na kahilima ni fake ,tatizo la chadomo huanzia hapo kila kitu ni fake
USSR
HakikaMtachambuliwa mpaka uvunguni
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio takwa letu sisi wananchi, tumeshawachoka.Endeleeni kujitekenya tu
Uchaguzi upo pale pale
Na nyie shindeni muunde Tume yenu,hata kule Kenya Tume Ina wajumbe ambao ni Wafuasi wa Vyama.View attachment 3302178
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.
View attachment 3302176
Toa maoni yako.
Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.
Propaganda ya kitotoAisee....
Nina uhakika kina Mkwawa na kina Mirambo, walikuwa hawashikani mikono hivi......
View attachment 3302201
Propaganda za kitotoRamadhani Kailima,kada mkongwe wa CCM tangu enzi,akiwa na kada Meigilu Nchemba,Kailima ndio mwenyekiti wa uchafu unaoitwa tume huru ya uchaguzi!!View attachment 3302182
Wewe ni nani haswa?Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio takwa letu sisi wananchi, tumeshawachoka.
Acheni PorojoMkuu habari za Geita, Tunaomba Maoni yako kuhusu Mjumbe huyu ambaye ni Katibu Mwenezi wa ccm mstaafu
Huyu sio Kailima , Huyu ni Prof. Ndanshau wa idara ya uchumi UDSM. Hii picha ilipigwa wakati Madellu akiwa mwanafunzi!!Ramadhani Kailima,kada mkongwe wa CCM tangu enzi,akiwa na kada Meigilu Nchemba,Kailima ndio mwenyekiti wa uchafu unaoitwa tume huru ya uchaguzi!!View attachment 3302182
Sura zao zinaonesha ni wapuuzi sana na kama IS members!Ramadhani Kailima,kada mkongwe wa CCM tangu enzi,akiwa na kada Meigilu Nchemba,Kailima ndio mwenyekiti wa uchafu unaoitwa tume huru ya uchaguzi!!View attachment 3302182
Madelu amevaa lisuruali la kipuuzi la huko Singapore!Huyu sio Kailima , Huyu ni Prof. Ndanshau wa idara ya uchumi UDSM. Hii picha ilipigwa wakati Madillu akiwa mwanafunzi!!
Kasonge ntareh na motema ya ntirugo katilimbwaTume huru kama tume huru
Kasongo mbona wewoo
Hoja ni huyu ni Ndanshau au siyo? Hata Mimi amenifundisha maarufu kama vis-visHaya sasa Mlimani wa nyie watoto wa Juzi hamkubali!! Kuna mwalimu humu jambo I namfahamu aliyewandisha Huyu mwalimu wako Ndanshau, katibu wako mkuu na hata boss wako Mpango!!
Wewe ndio kabisa wa Juzi umefundishwa na hata wakina Amon Mbelle!!Hoja ni huyu ni Ndanshau au siyo? Hata Mimi amenifundisha maarufu kama vis-vis
Mimi ni mwananchi na circle yangu yote ninaowajua wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.Wewe ni nani haswa?
Wananchi karibu Milion 50 hawana muda na hizo ngonjera