Wafahamu Wasanii wenye alama (matukio) yanayojirudia kwenye video zao nyingi

Wafahamu Wasanii wenye alama (matukio) yanayojirudia kwenye video zao nyingi

Ahaaaaaaaa ndo umshauri afanye mazoezi ya nyonga tuone miuno,au wakurya desturi yao sio kunyonga
Jide siyo mkurya. Ni kabila fulani wanaitwa Wasizaki. Ni kabila la kina Wasira

Wanapatikana Bunda
 
Baraka the prince, hawezi kuimba bila vikoti vyake.

Diamond, lazima ajing’ate ng’ate meno.
Huwa analamba lips, zinakauka.

Halafu ni bingwa wa Kucheza na Camera ili asiharibu Kwasababu ya mdomo, Directors hasa wa nje wakimsogezea karibu.

Check video ya Hallelujah.
 
Huwa analamba lips, zinakauka.

Halafu ni bingwa wa Kucheza na Camera ili asiharibu Kwasababu ya mdomo, Directors hasa wa nje wakimsogezea karibu.

Check video ya Hallelujah.
Kwahiyo nae anatoka kinondoni mkuu maana ndo tabia zao mkuu?
 
Hao jamaa tabia zao unakuta huko mbeya mtu kavaa shati na suruali vya kijani Ila ni satini

Na kiatu kirefu cheupe
Na wasafwa akili zao huwa naona kama wagogo.

Yaani mgogo ni mgogo tu, check akili ya Ben pol.
 
Back
Top Bottom